Mume amenitenda

Mume amenitenda

ama kweli ule msemo usemao "pesa ikiwepo utajua tabia ya mumeo na ikiwa hakuna utajua ya mkeo" nimeamini wallahi!
 
Hata kama mnaishi kijijini hauwezi kujenga nyumba nzuri na kunua gari zuri kwa 30m! Nyumba nzuri kwa mil 8? Mmeezeka nyasi? Nyumba nzuri lazima iwe na gypsum,tiles,ipigwe rangi safi white cement kwa sana,bati msouth na sio Alaf,gari nzuri mliyonunua aina gani? Gari nzuri inaanzia bei mil 15,usishangae kumuona Martin kadinda.
 
SOsi ya zari haikuwa ushirikina? Maana kwenye ushirikina masharti ni mengi mno. Rejea bilionea wa AruSai waliokuwa anasema anatembea na mama ake na dada pia.
 
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie

ehe! yaani tu milioni 30 tu ndiyo fujo zote hizo????dah?!!!ama kweeli!...ataishiwa muda si mrefu na atakuwa mpole sana
 
Kutembea na dada yake hiyo laana. Hata kama angekuwa katulia..

Suala la kutembea na dada yake mbona hilo si kosa hata kidogo, mimi nawaona watu wengi tu wanatembea na watoto wao, wakwe zao, dada zao, shangazi zao na hata mama zao tena kila siku, na hivi ndivyo familia zansvyotakiwa kuishi kwa upendo na umoja na amani, mimi sioni kosa hapo labda ingekuwa KAZINI na dada yake hapo ndiyo laana kubwa sana, UZINZI NA UASHERATI ni DHAMBI.
 
aaaaah bana hii si ndo style ya mujhini shosti??
kipi cha ajabu kwako hapo??
unatofautiana nn na huyu dadake shemeji yetu??
yule boss si huwa analala kwako na siku atakazochagua well utakazoamua ndo analala kwa mkewe?
AU?
NAULIZA TU!

Hahahaa haaaa uwiii
snowhite
 
Mwache atumie ziishe fasta,atarudi kwenye tabia yake ya awali na mtakwa na amani tena
 
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
Gari na nyumba nzuri kwa 30M anyway nisibishe huenda kuna tofauti katika ghalama za ujenzi kati ya mkoa na mkoa
 
mwambie Mungu amshughulikie maana wewe huwezi, funga na kuomba sana hata ikiwezekana apply maombi ya masaa 24 mlilie Mungu amrudishe mume wako katika hali ya kawaida, na awe mtu mcha Mungu, kwa Mungu hakuna lisilowezekana kabisa soma neno sana omba san hata usiku amka saa nane usiku omba kwa kuomboleza na nakuhakikishia utamuona Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo. Soma Yer 33:3, 27:32, 29:11.........
 
Suala la kutembea na dada yake mbona hilo si kosa hata kidogo, mimi nawaona watu wengi tu wanatembea na watoto wao, wakwe zao, dada zao, shangazi zao na hata mama zao tena kila siku, na hivi ndivyo familia zansvyotakiwa kuishi kwa upendo na umoja na amani, mimi sioni kosa hapo labda ingekuwa KAZINI na dada yake hapo ndiyo laana kubwa sana, UZINZI NA UASHERATI ni DHAMBI.

Umri wako bado subiri ukikua utajua aliposema anatembea na dada yake wa tumbo moja anamaanisha nini!
 
Dada yako wewe au dada yake mwenyewe huyo mwanaume? Mbona hainiingii akilini hii?
 
hahaha snowhite I didnt call you for your brightness rather uzoefu (japo mdogo) kwenye maisha ya kutendwa. Share with her please
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom