Sijui siku izi ni fasheni! Kuna vimburu vingine navifahamu eti mtu na dada wanabanjuana!
Hapa kuna kauongo
mil. 30 = nyumba nzuri + gari + hela za kuleweya + pesa za kuhonga...............duuuu
Umeona?
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie

pole sana dada yangu?mlimenage vipi kuishi bila ajira kwa muda wote huo?
back to the topic kwa sababu ni mume wako na mmeahidi kuwa pamoja siku zote za maisha yenu,ni hivi naweza kushauri kama una imani na maoimbi,funga na kuomba kwa wiki moja kwa imani kubwa na Mwenyezi Mungu atafungua njia!
pole sana ,Mwenyezi Mungu akupe Moyo wa uvumilivu na ssubira katika kipindi hiki kigumu,lakini zaidi zaidi ambadilishe mumeo na kuwa mume mwema na bora tena!
Million 30 mmenunuwa gari na kujenga nyumba! Ni kijiji gani hicho mnachoishi? Na hiyo gari ni Morris?toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
Hapa kuna kauongo
mil. 30 = nyumba nzuri + gari + hela za kuleweya + pesa za kuhonga...............duuuu
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
toka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie
basi endelea kuliasidhani kama hiyo itasaidia kumrekebisha!
Pesa za mizimu(zali) mambo zake ndo hizohizo wewe kula jiwe tuuuu akugawie na griditoka tuoane mwaka 2002 tumeishi kwa amani na upendo,sote hatukua na ajira,sasa mwaka jana tumepata zali la mil.30,tumenunua gari na kujenga nyumba nzuri,sasa hivi mwenzagu amebadilika,analewa sana,nyumbani analala siku anazotaka,analeta mahawala zake chumbani,hashauriki,anatumia pesa hovyo hovyo,na amediriki hadi kutembea na dada yake ambae kitabia hajatulia.Hapa nilipo nimechanganyikiwa ee Mungu nisaidie