Mume amenitenda

Mume amenitenda

hayo yoote yanafanyika kwa kutumia hizo shs milioni 30 ama?.. mmejenga nyumba nzuri, mmenunua gari nzuri bila shaka,

hujasema chochote kama mmewekeza ili kuongeza kiwango cha pesa, sasa swali ninalojiuliza? huyo mumeo analewa kwa pesa zipi hizo zisizoisha?
 
Thread yako inasikitisha kwani umefananisha na kisa cha kweli kabisa ninacho kifahamu na jamaa ninayemfahamu ila yeye ni miaka sasa imepita.
Alikuwa hana kitu, akaoa na wakafanikiwa kupata watoto 4 wa kike. Bwana akaanza vitimvi, mpaka na dada yake na mahouse girl 2 na mtoto wa dadake mkewe. Wote akawa do. Dadake akachomoa ya miezi 5 kidogo iende naye.
Akamfukuza yule mke wa ndoa akavuta ndani wale mahousegirl wote 2 na kuutangaza ufalme. Ana watoto 19 leo.
Mali ilikaa kidogo lakini kaka wanasema, dua ya mnyonge husikika huko juu.
Yule mama wa house akaolewa mbali kwa mtu mwingine kumbe yeye ndo alikuwa ngekewa kwani kule amesitawi ile mbaya saa hivi. Lakini jamaa amecharara kuliko hadithi. Namjua na namwona akikat mbuga kiatu chake anatembelea ngozi ya upande mmoja. Huwezi amini kuwa ni mtu keshakuwa na maduka makubwa 29 na malori 4 ya isuzu boxbody ma pesa ya kumwaga.
Mama, tulia kwa Bwana Mungu. Atakulipia mateso yako ukiona hivi hivi. Kama una njia ya kujipatia angalao kamtaji hata wa kukaanga mandazi uza maandazi yako, na Mungu atakuinua pole pole na utafanikiwa tu. Mpende tu kwani ni mzazi mwenzio. Hao wengine woote ni wa kuja tu hivyo ni wadowezi tu wewe ndo mwenye nyumba. Baraka zake ziko kwako.
 
dah bado wanaume hawajifunzi
 
King Kong III christine ibrahim amu et al tafsiri ya nyumba nzur kwake na kwako sidhani kama znaendana. Kunapost anasema wamejenga kwa milioni 8, ukijumlisha na ka Vitz haitafka 20. Hela hyo ilikuwa ni ya puu paa, haimaanishi (koz hajasema) kwamba mirija ya kupata imefungwa.

hata mi nimeelewa hivyo c unajua tena kwa kijijini inatosha kabisa ukizingatia amesema ni wakulima na wanafanya bness
 
Last edited by a moderator:
Subhanallah dunia imekwisha...

Amelaaniwa huyo kama ameweza lala na dada yake basi hashindwi kufanya lolote...kuwa makini

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForum

Vipi dada mtu yeye hajalaaniwa?
 
snowhite is no longer a bright gal my dear,until further notice
ngoja nikuitie Eiyer

Dah....!!!!!!

Sijui hata niseme nini
Ila kiukweli kuna mambo inatakiwa uyapitie kwanza kabla ya kujua kuendesha gari

Ndio maana zamani kama wewe unajua kuendesha gari halau sio fundi wa kulitengeneza ulikuwa hupewi ajira!
 
Pole sana kwa matatizo yanayokukabili, mwombe sana Mungu ili afanye njia ya kuepukana nalo.
 
hata mi nimeelewa hivyo c unajua tena kwa kijijini inatosha kabisa ukizingatia amesema ni wakulima na wanafanya bness

haswaaa...
kijijini si sawa kabisa na mjini, hata vifaa vya ujenzi tu bwerere (kwa baadhi ya vijiji)
 
Pole sana ndoa hiyo try imekuwa ngumu anaingiza mahawara chumbani na anatembea na Dada yake chunguza labda kapewa mashart na mganga ili kuongeza kipato muombe mungu atakubainishia
 
Ujue kutembea na Binti dada yake wa tumbbo moja si kitu cha kawaida hata kidogo!!! Ukute tayari keshaenda kwa Sangoma ili apate tena mihela zaidi ya hizo Mil 30...so nadhani atakuwa anatimiza masharti tu mumeo!! Be careful
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom