ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,388
- 118,832
na mimi naweza kukwambia gari nzuri inaanzia mil 80.....my point is uzuri kila mtu ana tafsiri yeye,huko kijijini kwao nyumba aliyojenga kwa mil 8 ndio nzuri kuliko zote ataacha kusema kajenga nyumba nzuri???
umeongea pointi mkuu, gari na nyumba nzuri vinategemea sana mtu anaonaje..
kwangu nyumba nzuri yaweza kuwa ya 20M wakati kwa mwingine SI lazima iwe hivo, gari zuri pia hivyo hivyo, yote haya inategemea mtu anaishi wapi, waliomzunguka Wako ktk hali gani kiuchumi na factors nyingine lukuki.