Duuu dunia ina vituko sana!
Mzee wa visiwa vya zimbabwe+Pemba leo amefunguka sana me na subiri birthday ya jimbo!
The man iis absolutely ins@ne,kipindi cha kina mulogo kulikuwa na full sponser chuonI bana,au alisoma chuo G@ni hapa mjini!au duce
Duuu dunia ina vituko sana!
Mzee wa visiwa vya zimbabwe+Pemba leo amefunguka sana me na subiri birthday ya jimbo!
Basi Mulugo anaingia kwenye vitabu vya historia kuwa kilaza aliyesoma na vilaza zaidi ya wote duniani kama alishinda pekee kwenda Sekondari. Ila kwa kumbukumbu zangu ni kwamba wakati ule watu walikuwa wakichaguliwa na si kushinda. Mnaweza kunikosoa kama nimekosea wanangu. Mulugo unamdanganya nani?
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?
Basi Mulugo anaingia kwenye vitabu vya historia kuwa kilaza aliyesoma na vilaza zaidi ya wote duniani kama alishinda pekee kwenda Sekondari. Ila kwa kumbukumbu zangu ni kwamba wakati ule watu walikuwa wakichaguliwa na si kushinda. Mnaweza kunikosoa kama nimekosea wanangu. Mulugo unamdanganya nani?
Kipindi anamaliza form 6 (kama kweli alimaliza), serikali ilikuwa inatoa mikopo katika awamu ya kwanza ya kuchangia gharam za elimu ya juu...
Kwa hiyo hawezi kutushawishi kwamba alikosa pesa za elimu ya juu ingawa elimu ilikuwa siyo bure 100% kama miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa 1990s ambapo hata kusafiri ilikuwa ni kwa travel warrant.
MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL Salutation Honourable Member picture
First Name: Philipo Middle Name: Augustino Last Name: Mulugo Member Type: Constituency Member Constituent: Songwe Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 9121, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 754 315 922/+255 784 315 922 Ext.: Office Fax: Office E-mail: pmulugo@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 27 January 1972
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
Pure lies if this guy is the smartest of his batch it means his was a bunch of tabularasa so to speak. By then chuo ilikuwa ni free sasa anaposema alichelewa kujiunga na chuo ili kutafuta pesa anamdanganya nani? Wakati kwenda chuo ilikuwa ni fursa ya kunenepa kwa kula bure.
Ni kweli wakati huo kwenda chuo ilitegemea uwezo wa mwanafunzi , inawezekana huyu bwana alipata Division III O-level na alipokwenda A-Level akaambulia pengine kati Division IV au O na hivyo akakosa sifa za kujiunga na chuo kikuu ndio maana akawa anatafuta fedha akasome Open University baada ya kukataliwa na vyuo vingine kwa kukosa sifa. Huwezijua bwana masaibu yaliyompata katika mchakato wa kusaka elimu!!!
Hapo sasa, na zile kesi? mnhhhhhh!
Huyu bwana alipokuwa Mbeya Secondary alikuwa Head Prefect na alipokwenda Songea Boys akisoma masomo ya HGL alifeli FORM VI kwa KUPATA DIV 0, na aliporudi MBEYA akawa anafundisha ktk shule 1 ya Sekondary ya WAHINDI pale Town kwa kutumia vyeti feki. Then yule muhindi shule ikamshinda akamwachia MULUGO akarudi kwao INDIA. From there jamaa ndo akaanza kupata fedha na alipogombea ubunge inasemekana alikuwa anajitambulisha amesoma UDSM Kumbe ndgu yake ndo alisoma UDSM anatumia vyeti vya huyo ndgu yake. kashfa zilipozidi ndo akatoa record kuwa kasoma OPEN.
Jamani tumuache mweshimiwa, mimi namfahamu nimesoma nae darasa moja mbeya day, ukweli ni kuwa zamani watu wa kipato cha chini walikuwa hawezi kujilipia private school, ndio maana na yeye kwa kuwa ametoka katika familia duni ilibidi akariri shule ili afaulu, alirudia darasa la saba kwa jina la Hamimu Agustino na ndilo alilosomea mbeya day, then baada ya kumaliza six alirudisha jina lake la zamani la Philipo Mulugo na Akaliendeleza la Agustino Katikati. so ndio maana anaitwa philipo agustinno mulugo
maisha ni kupambana kutafuta alternative, that why hata alipomaliza six hakupa pass nzuri za kwenda mlimani then akaanza kufundisha na baadae kujisomesha open university
Nampongeza kikwete kumchangua mtu ambae ametoka kwenye familia ya no body, hii nchi ni yetu sote sio watu pekeee waliokulia mjini na walio bright tu!!
jiangalieni kwenye familia mlizopo nani hakuna mtu aliyekosa ndugu aliyekariri, so it was kasumba ya wakati ule.
Mimi nafikiri kama naibu waziri tunataka tuone analifanyia nn taifa na si kuzungumzia masuala minor kama hayo! Kimsingi mazingira ya shule zilizo chini ya wizara yake ni mabaya kupindukia, kufuatia mada hapo juu naona kuwa mhe. mlogo hastahili kupewa wadhifa mkubwa kama huo kwa maana ni mtu anayetaka kuonekana watofauti kwa sababu ya mazingira magumu aliyosoma. Hii inamanisha kwamba anataka mazingira yaendelee kuwa mabovu ili walio speial kama yeye ndo tu wafaulu! Mimi naamini kuwa kufaulu si bahati bali ni maandalizi mazuri ambayo mwanafunzi amefanya kwa kushirikiana na walimu wake ambapo mazingira bora ya kujifunzia yanachukua nafasi kubwa. Swali la kujiuliza mhe. P. Mulugo amefanya jitahada zipi katika kuboresha elimu titna mazingira ya wanafunzi kujifunzia?
Basi Mulugo anaingia kwenye vitabu vya historia kuwa kilaza aliyesoma na vilaza zaidi ya wote duniani kama alishinda pekee kwenda Sekondari. Ila kwa kumbukumbu zangu ni kwamba wakati ule watu walikuwa wakichaguliwa na si kushinda. Mnaweza kunikosoa kama nimekosea wanangu. Mulugo unamdanganya nani?