Na wewe umekosea, Mulugo alikosea kweli kuhusu hiyo miaka na alichosema ni Tanzania was found in 11964(one nineteen sixty four) badala ya 1964(nineteen sixty four) na siyo kama ulivyoandika. Audio ipo ukitaka weka hapa namba yako ya whatsapp nikutumie.Akiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 191961(Nineteen nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers Collage alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
Uko sahihi mkuu, huyu mleta mada naye kilaza kama Mulugo, sijui wanatoka sehemu moja? Waswahili wanajuana kwa vilemba.Na wewe umekosea, Mulugo alikosea kweli kuhusu hiyo miaka na alichosema ni Tanzania was found in 11964(one nineteen sixty four) badala ya 1964(nineteen sixty four) na siyo kama ulivyoandika. Audio ipo ukitaka weka hapa namba yako ya whatsapp nikutumie.
Alisema muungano wa zimbabwe na pemba! Anyway hili ni tatizo la aliyemteuwa. Maana ukimteuwa mtu anakuwakilisha. Sasa kama unawakilishwa na bogus halafu unamwacha aendelee kukuwakilishwa ina maana unaridhika nae.Akiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 191961(Nineteen nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers Collage alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
Mleta mada naye mburura, umeona alichokisema kuhusu miaka anayodai Mulugo alitamka? Tafuta speech ya Mulugo wakati huo na alichokiandika tofauti kabisa. TataMadiba ndiye yuko sahihi angalia alivyo-mnukuu mleta mada.Hili jitihada Mulugo ni mburula la kutupwa. Halafu nawashangaa wananchi wa Jimbo la Songwe wanamchagua. Hapa kweli kuna haja ya kupima uwezo wa kufikiri wa wananchi hawa.
ninaamini kama kweli alisema hayo, alifanya makusudi tu. kwamba suplimentary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu? hahahahaAkiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 191961(Nineteen nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers Collage alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
Nisahihishe kwa ustaarabu tu. I'm a wise man, nakubali changamoto ili mradi unajua zaidi yangu.Na wewe umekosea, Mulugo alikosea kweli kuhusu hiyo miaka na alichosema ni Tanzania was found in 11964(one nineteen sixty four) badala ya 1964(nineteen sixty four) na siyo kama ulivyoandika. Audio ipo ukitaka weka hapa namba yako ya whatsapp nikutumie.
Mkuu wa Kaya sasa ndiyo watu anaowakubali. Angalia kama akina Lukuvi hawa, sample zilezile.ninaamini kama kweli alisema hayo, alifanya makusudi tu. kwamba suplimentary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu? hahahaha
kuhusu Tanganyika na Zimbabwe nilimsikia kwa masikio yangu. kuhusu huko tukuyu, dah.....
unajua wakati mwingine watu kama hawa tunatakiwa kuwashitaki kabisa, kwasababu hata akiajiriwa anakuwa anakula mshahara wa bure sawa tu na anaiibia serikali kwasababu hakuna anacho deliver.
Huyu jamaa sijajua aliwapa nini wananchi wa Jimbo la Songwe. Ni Kilaza kuliko kawaida.
Na wewe umekosea, Mulugo alikosea kweli kuhusu hiyo miaka na alichosema ni Tanzania was found in 11964(one nineteen sixty four) badala ya 1964(nineteen sixty four) na siyo kama ulivyoandika. Audio ipo ukitaka weka hapa namba yako ya whatsapp nikutumie.