Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

★★♡♡ Xcellent .....safiiiiiiii

=> Div.. 0 ni 0 tu...I was totally amazed by Mchome.....wtf...?? ni hii Div 0 ndio inawaogopesha wanafunzi wasome kwa bidii.....

=> Safii...hongera Mulugo for the first time.....

=> angekuja mwingine hapo NECTA na kuongeza Div 6...mwingine division 7.....ukichaa huu sasa.....let*s call spade a spade.....period....0 ni 0 tu.......
 
ni nani anawashauri hawa mawaziri wa elimu?ni makatibu wao?ni wake zao au ni wale wa nyumba ndogo?hakika haiwezekan waziri huyu anakuja na hili mwingne anaibuka na kupinga lile alosema mwenzake hawa watu wanafanya kazi kama team au kila mtu anafanya kivyake?nani amewaroga hawa watu?nani kawavuruga hawa watu wamechanganyikiwa wanatuchanganya na sisi.nini kifanyike?

Ndugu yangu hawa ni Miungu watu wengi wao huwa hawashauriki wala kuambilika labda awe mfadhili wa Kizungu ambaye atawatishia kwa kuzuia fedha za msaada.Wataalamu wengi wa Mawizarani hawana ubavu wa kuwashauri Mawaziri tena baadhi ya Ofisi utakuta misuguano ya hatari kati ya Maofisa wa Idara vs Mkurugenzi wao wa Idara , Mkurugenzi wa Idara Vs Katibu Mkuu wa Wizara na Naibu Katibu Mkuu Vs Katibu Mkuu na Mwisho Katibu Mkuu Vs Waziri yaani ni full mtifuano na bifu utafikiri wana muziki wa Bongo flavour.

Hii ndiyo chanzo cha kutetereka kwa shughuli za utendaji Serikalini.Hii vurugu mechi hii siyo ya kawaida ina jambo kubwa zaidi ya hili kwani kama ni Wataalamu taarifa yao lazima ingefika na kujadiliwa na Menejimenti ya Wizara ambapo Waziri ni Mjumbe au alikuwa Jimboni kumdhibiti Mh.Mbilinyi?!

Hawa hawashaurikagi mkuu na mara nyingi wanakacha vikao vya kiutendaji ili kwenda kuatamia majimbo yao na wanapo ona kuna ka issue kakujipatia umaarufu wanatoka huko mbiyo bila hata kunawa uso na kuanza kutoa Matamko kwa kuhamanika na wanapoingia chaka wanadai walishauriwa vibaya we mwambie tu akutajie nani alimshauri vibaya uone kama ata mtaja...hakuna kitu...hata mtaja kwa ni hayupo
 
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo,amekanusha maneno ya Mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.

Source; TBC 1

Ndio maana wenzetu wa afrika mashariki hawatuelewi wameamua wajipange kivyao. Mambo ndio kama hivi wizar moja lugha gongana ndani ya siku tatu.
 
Kesho watasema dv5 ipo na zero ipo pale pale!
 
Division "O" ilikuwepo muda wote baada ya I, II, III na IV. Makosa yaliyofanyika ni kutoipa neno division ziro, na ibabaki kuwepo. Labda tuko wazito kuelewa. Kwa maana hiyo tunazo siku zote division 5, nne za ufaulu na moja ya kushindwa.

Kuna kufaulu na kufeli. Ndani ya kufaulu ndiko unakuwa na 'Divisions - 1,2,3,4 n.k - kulingana na viwango vya nchi husika. Kufeli ni hakuna 'Divisions'. Call a spade a spade.
 
Kuna kufaulu na kufeli. Ndani ya kufaulu ndiko unakuwa na 'Divisions - 1,2,3,4 n.k - kulingana na viwango vya nchi husika. Kufeli ni hakuna 'Divisions'. Call a spade a spade.

Mkuu unajua neno kufeli ndio wanaliogopa sana kiasi cha kuleta hizi daraja.
 
Kweli tanzania ilpata uhuru mwaka 11961 kwa huyu sina ata cha kuchangia mana ni full dish
 
Wanavuruga vuruga tu;

Halafu wenzao tunapata shida
kukitetea chama huku uraiani
hii kazi kweli kweli.

Ngoja tu niseme ...... source please....
 
Utawala uliofitinika utaujua tu, sisi kimyaaa tunatwanga kote kote wakijastuka tumewasweka segerea.
 
Wanavuruga vuruga tu;

Halafu wenzao tunapata shida
kukitetea chama huku uraiani
hii kazi kweli kweli.

Ngoja tu niseme ...... source please....

hahahahahaha kweli umevurugwa dadangu. Umeshindwa hata kujua source??????
endeleeni kutetea chama chenu maana mmeapa kukilinda na kukitetea na kuzidumisha fikra duni za mwenyekiti
 
Mkuu kwa mpango wa sasa hakuna ya kusindwa,dvs 5 ni ufaulu wa kiwango cha chini.
Hakuna anayeshindwa au kufeli!..
Division "O" ilikuwepo muda wote baada ya I, II, III na IV. Makosa yaliyofanyika ni kutoipa neno division ziro, na ibabaki kuwepo. Labda tuko wazito kuelewa. Kwa maana hiyo tunazo siku zote division 5, nne za ufaulu na moja ya kushindwa.
 
Jedwali Na 2 MUUNDO WA MADARAJA
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 2"]
MUUNDO WA ZAMANI
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 2"]
MUUNDO MPYA
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
MAELEZO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
POINTI
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
DARAJA
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
POINTI
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
DARAJA
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]7-17
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]7-17
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]I
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu uliojipambanua na bora sana
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]18-21
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]II
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]18-24
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]II
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu mzuri sana
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]22-25
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]III
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]25-31
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]III
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu mzuri na wa wastani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]26-33
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]IV
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]32-47
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]IV
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi ufaulu hafifu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]34-35
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]48-49
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]V
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu usioridhisha
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wataalamu wa mifumo ya mitihani watalifanyia kazi zaidi jedwali hili la madaraja ili liweze
 
Hakika hapa ndipo napoilaumu demokrasia inayoendeshwa hapa Tanzania,yaani wengi wape hata wakiwa wengi kwa kuiba au kwa uhuni au kwa kuhongwa pilau na kofia. Huyu Mulugo ndiye aliyechemka (mtizamo wangu) kwa sababu ukiisoma vizuri ile taarifa ya Katibu mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inayohusu Upangaji wa Viwango vya alama,matumizi,ya alama endelevu ya mwanafunzi na ufaulu, taarifa ambayo iliibua kufutwa kwa divisheni 0 na kuleta divisheni 5 kuna mambo mazuri tu yenye kutia hamasa kuyasuburia utekelezwaji wake kwani angalau itapunguza wafaulu wa kuiba mitihani ya mwisho na kupunguza wale walioua wakipanic siku ya mtihani wa mwisho na kupata madaraja ya chini, na kuongeza usahihi wa wale watakao pata daraja la kwanza kua wale wanaostahili kweli (narudia tena kama mfumo ukiwa na usimamizi dhabiti . Naibu waziri huyu atakua ameipaka matope tena wizara na yule aliyemchagua kama kweli hawatoutekeleza huu mfumo waliouanzisha ambao kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Katibu Mkuu wa Wizara utaanza kutumika kwa wanafunzi wa kidato cha 4 wanaotanya mtihani mwezi huu wa novemba 2013. Huyu sijui nani anamuandalia taarifa zake anazosoma bungeni kama alisema hivyo kujibu hoja basi wote yeye na anayemuandalia taarifa hawastahili kuwepo hapo walipo
 
Dah! Wewe kweli una maono, alhamisi hili swali ni lazima kwa waziri mkuu, subiri uhalo atakaojibu sasa. Nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa
Mabata wadogo wadogo
wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee
ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne.
Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone
Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
 
waziri mulugo muda huu yupo ndani ya radio one akiongelea kuhusu mitihani
 
Back
Top Bottom