tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,181
- 27,781
me nimemuelewaa!
umemuelewaje?
me nimemuelewaa!
1]i used to panic, so i asked my class teacher kwa ushauri na akaniambia jinsi ya kutulia kwenye mtihani na ilinisaidia.
2] hiyo ni lack of practical experience, hata miye nilipoanza kazi kuna mengi sikujua ambayo waliosoma chini yangu wanayafahamu. pia mindset ilikuwa tofauti since nilikuwa najaribu ku-copy/paste vya darasani to the office. hii iliisha baada ya muda mfupi. issue ya QT iwekwe kazini/vyuoni sio mashuleni.
3] i can't do everything, i'm just human.
4] nakuunga mkono hapo. ingekuwa vizuri if we had various methods of examination/assessment.
Sasa hayo ndiyo mambo yaliyopaswa kutiliwa mkazo na siyo kuja na mfumo upya wa alama! Hayo mambo uliyoyasema ndiyo chachu ya kuiinua elimu yetu. Pia kitengo cha career guidance ni muhimu kuwa nacho katika shule zetu za msingi na sekondari. Hivyo kutamfanya mwanafunzi atambue mapema yeye uwezo wake umejikita katika fani/taaluma ipi. Hapo ndipo atakaongeza bidii zaidi katika hiyo fani/taaluma. Huwezi kumlazimisha kila mwanafunzi awe injinia, wengine ni wachoraji!!
Hayo pamoja na mengi (walimu, maabara, vifaa vya ufundishaji, vitabu n.k.) yaliyosemwa juu ya kuboresha elimu yetu, ndiyo ya kutiliwa mkazo. Na si alama na madaraja mapya.
Chifu, sidhani kuwafaulisha wanafunzi ndiyo sababu ya kuwepo kwa mitihani. Mitihani ipo kwa ajili ya kupima uelewa wa mwanafunzi kwa kile alichofundishwa darasani na kile kinachofanyika kwa uhalisia katika maisha ya mwanadamu.
Chifu watoto hawawezi kufaulu kama hakuna mazingira katika shule zao, ya kuwafanya wafaulu.
Mitihani haiwezi kutungwa kwa kukomoa; wanataka kumkomoa nani? Kwa watungaji hao hao, wana watoto, ndugu zao na watoto wa ndugu zao wanaofanya mitihani hiyo hiyo!! Sasa mzazi anaweza kumkomoa mwanaye?!? Hii ni sababu itolewayo na wanafunzi waliosoma katika mazingira yasiyowawezesha kufaulu. Mitihani inatungwa bila kuangalia kama mada zilizotungiwa mitihani zilifundishwa ama la! Sasa mwanafunzi akikutana na maswali kutoka kwenye mada kama hizo, ndipo anapoanza kusema amekomolewa!! Kumbe ni udhaifu wa mfumo wa ufundishaji!!
mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
Tayari Lukuvi amesharopoka na anasema eti alichosema Prof Mchome si kauli ya Serikali, Sasa sijui ana maana gani yaani Katibu Mkuu wa Wizara akiongea anakuwa anajiropokea tu hiyo si kauli ta serikali. Na je hilo suala la D kuanzia 0-19 na mengine yote aliyotanaza Mchome nayo ni Batili au wanasemaje? Mbona wanawachanganya sana K4 wanaoendelea na mitihani yao?
Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?