Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

na yeye afanye mtihani na hawa madogo am sure atapata dv 5!
 
  • Thanks
Reactions: ldd
Nakwambia hawa wote ni vilaza tuu?kwa7bu kila kukicha kila mtu anasema lake prof mchome anasema dv 5 ipo leo asubuhi radio one hamimu aka mulugo anasema hakuna dv 5 na dv 0 iko palepale sema tu itakuwa ya pt 48 & 49.hii ndo bongo kila kukicha wanabadika mpaka hii 21c iishe cha moto tutakiona.
 
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo,amekanusha maneno ya Mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.

Source; TBC 1
Kama hii habari ni ya kweli nataka kuwasikia clouds kesho asubuhi watasemaje maana asubuhi wamepongeza sana kufutwa div 0 ... hawa jamaa ni wafuata upepo balaa.
 
Wame-drive out Dr Ndalichako.
Hii ya Div 5,i guess ni mapendekezo ya hao hao waliomdrive out Dr Ndalichako.

Tulishasema ili kukidhi quota ya wenzetu,toka Uhuru,wampe Shekh Ponda kuwa Head wa NECTA
 
Kwa sasa tushike la huyu wa leo hadi hapo yatakapotokea mabadiliko, na anavyomalizia amesema alama mpya za kidato cha sita zitatangazwa pia wakishafanya "calculation".

hapo sawa maana nilikuwa sielewi Div I ya point 7 kwa fomu 6 itakavyopatikana
 
Kama hii habari ni ya kweli nataka kuwasikia clouds kesho asubuhi watasemaje maana asubuhi wamepongeza sana kufutwa div 0 ... hawa jamaa ni wafuata upepo balaa.

nani mwenye critical thinking pale wote wale ni div 5 tu hasa yule anayeongea sana utathani anafahamu kila kitu
 
Tatizo la wizara ya elimu ni kila mtu na lwake. Waziri na yake,naibu waziri kivyake,katibu mkuu vilevile! Watanzania wawe makini sana mwaka 2015!
 
Bora tufute hii division 0 ili kuepusha vifo vya wadogo zetu wa shule za kata..!
 
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]POINT[/TD]
[TD]DARAJA[/TD]
[TD]MAELEZO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7 - 17[/TD]
[TD]I[/TD]
[TD]Ufaulu uliyojipamnabua zaidi na bora sana[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18 - 24[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]Kundi la ufaulu mzuri sana[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25 - 31[/TD]
[TD]III[/TD]
[TD]Kundi la ufaulu mzuri na wastani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]32 - 47[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]Kundi la ufaulu hafifu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]48 - 49[/TD]
[TD]V[/TD]
[TD]Kundi la ufaulu usiyoridhisha[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Wame-drive out Dr Ndalichako. Hii ya Div 5,i guess ni mapendekezo ya hao hao waliomdrive out Dr Ndalichako.

Tulishasema ili kukidhi quota ya wenzetu,toka Uhuru,wampe Shekh Ponda kuwa Head wa NECTA

Kwani Ndalichako ameondolewa au amepata post nzuri zaidi? Hebu tupeni ukweli.

Na huyo wa sasa ni mwislamu? Maana huko ndiko unakoelekea.
 
hivi hiyo division 5 mwanafunzi angepewa cheti?

Mulugo aache ushambenga mbona matokeo ya darasa la saba kumekuwa na E badala ya F?


necta na wizara wanaiua elimu ya Tanzania
 
sijui haya mauzauza ya hii wizara yataisha lini
 
Back
Top Bottom