Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Atakuwa kawathiri kisaikolojia watoto wanaoendelea na mitihani sasa kwa kiwango kikubwa sana. Alipaswa asubiri wamalize ndio akane kama hakuna kitu kama hicho(dvn 5). Inabidi aajibike/aajibishwe kwa hilo
 
Wakuu, naomba kuifahamu kwa jina filamu inayoendela wizara ya elimu na mafunzi ya ufundi Tanzania. natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kwenye uzi kama huu huwezi kuwaona buku saba.
Hapo ndio utajua nani mwenye kutaka maslahi binafsi na nani mwenye kutaka maslahi ya nchi.

cc: chama, Ritz, Simiyu Yetu, Taswira.......tatizo huwezi kujua nani anatumia hizi ID leo. anaweza akawa Wasira na Mzindakaya au hata Makamba na yule ---- wa UVCCM.


Tuliza kichwa yako kuna nini cha kuchangia hapa???
 
Mabadiliko ya Prof Mchome ni mazuri na yangechangia kuleta mabadiliko mazuri.
Huyu jamaa amesikiliza press ambayo haifanyi uchambuzi wowote na anakuja na statement zisizokuwa na tija
 
Ushauri umeshawahi tolewa siasa na utaalam
kamwe haviwezi kuchanganywa lakini
serikali sikivu ya Magamba nadhani huwa
sijui itasikia kwa.Mungu ??!!!!
 
Yale yale ya "wahamiaji haramu". Wabongo tunapenda sana maneno ya kuumiza akili za wahanga. Mtoto ahudhurie kila siku miaka minne (kidato cha kwanza hadi cha nne) bado unataka umwambie kuwa yeye ni ZERO? Kama yeye ni ZERO basi anayepaswa kuitwa ZERO ni walimu wake, maafisa elimu wake, mawaziri wake wa elimu, na hata mkuu wa kaya anayewasimamia hao wote🙁 Huyu mtoto baada ya miaka minne ametoka na maarifa fulani ambayo hayapaswi kubezwa na kwa hivyo ni haki kabisa tukaya-label DIVISION V (kwa vile mnapenda sana haya maneno ya division, division kana kwamba yamedondoshwa kutoka kwa Muumba).
Huyu ZERO Mulugo sijui JK alimtoa wapi? Ninaungana na wale wanaopendekeza kuwa kwa vile anampenda sana kuwa naibu waziri basi atusaidie kumwamishia kuwa naibu wa Bi Sofi pale kwa wanawake na watoto.
 
Jedwali Na 2 MUUNDO WA MADARAJA
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 2"]
MUUNDO WA ZAMANI
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, colspan: 2"]
MUUNDO MPYA
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
MAELEZO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
POINTI
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
DARAJA
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
POINTI
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]
DARAJA
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]7-17
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]7-17
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]I
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu uliojipambanua na bora sana
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]18-21
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]II
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]18-24
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]II
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu mzuri sana
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]22-25
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]III
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]25-31
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]III
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu mzuri na wa wastani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]26-33
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]IV
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]32-47
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]IV
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi ufaulu hafifu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]34-35
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]0
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]48-49
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]V
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Kundi la ufaulu usioridhisha
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Wataalamu wa mifumo ya mitihani watalifanyia kazi zaidi jedwali hili la madaraja ili liweze

Kuna vitu vingi sana vimebadilika mfano zamani ukipata marks 41 unakuwa umepata C, sasa hivi 41 ni D. C ni kutoka 50 mpaka 59. Zamani C ilikuwa na point 3 now 4.

Kitu ambacho nimekipenda zaidi ni final exam ya form iv ina weight ya 60%
Mtihani wa form ii necta una weight ya 15%
Mtihani wa form iii una weight ya 10%
Mock necta ina weight ya 10%
Na course work ina weight ya 5%. Hii inamaanisha wanafunzi wataanza kufatilia masomo tokea form ii, unlike now wanaanza kusoma wakifika form iv.

Mimi nawashauri watu badala ya kuangalia headline figures waangalie vilivyokuwemo ndani yake
 
Tuliza kichwa yako kuna nini cha kuchangia hapa???

Mfumo mpya wa ufaulu: ni upi una manufaa kwa kongeza tija katika elimu: DIV V ya Prof Mchome au DIV ZERO ya Le Prof Mulugo (Tanzania ni muungano wa Tanganyika na visiwa vya Zimbabwe- mwanamotapa)?
 
Wasaalam wana jamvi.
Jioni hii nimsikia Mheshimiwa sana Mulugo akisema Ziro iko pale pale. DIV 5 ilikuwa ni makosa.Which is which sasa?
 
Hivi ni vituko sasa hakuna daraja la 5 wakati kwenye matokeo ya darasa la saba kuna wanafunzi kibao wameandikiwa kuwa wamepata daraja la 5.Halafu yeye anaibuka na kusema kuwa daraja la 5 halipo.

Jamani nimeangalia matokeo ya Darasa la saba hakuna nadaraja bali kuna wastani wa ufaulu au A B C D. Ila badala ya kuandika average wameandika avarage na wote necta na wizara hakuna aliyeona hilo kosa mpaka wajaruhusu majibu kutoka.
 
Whether Div. 0 au 5!!! Prof. MULUGO aseme yeye alipata Division gani akiwa sekondari?
 
Hapa kwa kweli baada ya muda flani hili taifa litabaki na mambulula!
 
Naomba tafadhali mwenye cv ya huyu Mulugo aiweke hadharani ili tujue maana inawezekana hakustahili kuwa na hii position.:doh:
 
Mulugo ni mzigo.kumbe alimaanisha alichosema siku ile.noma sana.tz hakuboi
 
Naangalia TBC 1 hapa,naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo,amekanusha maneno ya Mchome ya kuongeza daraja la 5 na kusema daraja hilo halipo na sifuri ipo pale pale.

Source; TBC 1
Hii game ilianza na UPE na kwa sasa wale waliopitia upe ndo wanaitwa waratibu elimu!
 
Back
Top Bottom