Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

serkali ya wauza unga mpaka kwenye elimu wanafanyizia
 
Kuna kufaulu na kufeli. Ndani ya kufaulu ndiko unakuwa na 'Divisions - 1,2,3,4 n.k - kulingana na viwango vya nchi husika. Kufeli ni hakuna 'Divisions'. Call a spade a spade.

Haiwezekani mwanafunzi aliyesoma miaka minne atoke na sifuri kana kwamba hata darasani hakuhudhuria hicho ndicho nilichokuwa nalalamikia mara zote kwamba uwepo uwiano wa mahudhurio darasani, hali kadhalika wastani wa majaribio na homeworks ndipo yajumlishwe na final exam. Kwa mantiki hiyo hakuna atayakepata "O" kwa vile amehudhuria darasa. Tatizo hatuelewi kinagaubaga, kwangu wizara ya elimu imefanya vema kabisa.

Mzazi anaelewa uchungu wa mtoto kumsomesha miaka yote hiyo hata mahudhurio ambayo nayo ni sehemu ya nidhamu ya shule yasimletee credit mtoto si vema kabisa.

Mbaya zaidi mitihani inayotungwa zaidi ni ya kuwakomoa watoto si ya kiwango chao, hilo lilishazungumzwa hapo nyuma.
 
Mkuu kwa mpango wa sasa hakuna ya kusindwa,dvs 5 ni ufaulu wa kiwango cha chini.
Hakuna anayeshindwa au kufeli!..

Nadhani kiwango cha ufaulu ni kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu kama credits zinaruhusu ndio utaratibu unaotakiwa, vinginevyo mpango wa elimu ulivyobuniwa sasa ni bora zaidi kuwa na kifuta jacho cha wanafunzi kuwepo shuleni vinginevyo ni maumivu tupu wakati mtoto amahenya miaka minne hata mahudhurio tu ni sifuri wakati alikuwepo shuleni muda wote.

Mafanikio ya mwanafunzi shuleni si zile alama za masomo tu, kuna mengi ikiwemo ukomavu kiakili, kiutambuzi nk, sisi tunaona alama za asilimia tu.
 
Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nhuune. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?
Mizengo pinda janga la taifa.
 
Nadhani kiwango cha ufaulu ni kuchaguliwa kuendelea na masomo ya juu kama credits zinaruhusu ndio utaratibu unaotakiwa, vinginevyo mpango wa elimu ulivyobuniwa sasa ni bora zaidi kuwa na kifuta jacho cha wanafunzi kuwepo shuleni vinginevyo ni maumivu tupu wakati mtoto amahenya miaka minne hata mahudhurio tu ni sifuri wakati alikuwepo shuleni muda wote.

Mafanikio ya mwanafunzi shuleni si zile alama za masomo tu, kuna mengi ikiwemo ukomavu kiakili, kiutambuzi nk, sisi tunaona alama za asilimia tu.
Hii system ianzishwe hata vyuo vikuu
Wa unakuta mtu kasoma mpaka mwaka wa pili au wa tatu halafu an a disco.
Apewe 4th class au hata diploma
.
 
Mabata wadogo wadogo wanaogelea kaktika shamba zuri la elimu la Tanzania. Ni nchi pekee ambayo huwezi kutofautisha profesa na aliyeishia darasa la nne. Tunamsubiria Pinda na yeye aropoke lake. Tuendelee kusubiri tuone Alhamisi akitwangwa swali kuhusu hilo atajibu nn?

Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Haiwezekani mwanafunzi aliyesoma miaka minne atoke na sifuri kana kwamba hata darasani hakuhudhuria hicho ndicho nilichokuwa nalalamikia mara zote kwamba uwepo uwiano wa mahudhurio darasani, hali kadhalika wastani wa majaribio na homeworks ndipo yajumlishwe na final exam. Kwa mantiki hiyo hakuna atayakepata "O" kwa vile amehudhuria darasa. Tatizo hatuelewi kinagaubaga, kwangu wizara ya elimu imefanya vema kabisa.

Mzazi anaelewa uchungu wa mtoto kumsomesha miaka yote hiyo hata mahudhurio ambayo nayo ni sehemu ya nidhamu ya shule yasimletee credit mtoto si vema kabisa.

Mbaya zaidi mitihani inayotungwa zaidi ni ya kuwakomoa watoto si ya kiwango chao, hilo lilishazungumzwa hapo nyuma.

hizi hesabu Za kuchagu ndiyo kuwa komoa wanafunzi..
 
SAFI SANA MR MULUGO HONGERA wanafunzi wanapaswa kusoma kwa bidii ili wafaulu na si vinginevyo wenye bidii wasonge mbele,wasio na bidii ktk masomo kuna KILIMO
 
Katibu Mkuu na Naibu Waziri ndani ya Wizara ni yupi mtendaji??, obviuosly Katibu Mkuu, sasa ktk hili la alama binafsi naamini Prof. kuna kitu amekiona ambacho kwa watu wasiopenda kuumiza vichwa vyao ktk kufikiri wanaona kama vile ni utaratibu mbaya kumbe si sawa; Dv. 5 imechanganya watu kutokana na kutokuwa na uelewa sahihi ktk haya mambo ya madaraja ila kama wataeleweshwa vya kutosha ipo siku watakuja kukubaliana na hoja hii ya Prof.

''Mtihani wa mwisho tu tena anaoufanya kwa siku moja hauwezi kuendelea kuwa kipimo cha kupima uwezo wa mwanafunzi aliyesoma miaka 4...Tafakarini katika hili.
 
Haiwezekani mwanafunzi aliyesoma miaka minne atoke na sifuri kana kwamba hata darasani hakuhudhuria hicho ndicho nilichokuwa nalalamikia mara zote kwamba uwepo uwiano wa mahudhurio darasani, hali kadhalika wastani wa majaribio na homeworks ndipo yajumlishwe na final exam. Kwa mantiki hiyo hakuna atayakepata "O" kwa vile amehudhuria darasa. Tatizo hatuelewi kinagaubaga, kwangu wizara ya elimu imefanya vema kabisa.

Mzazi anaelewa uchungu wa mtoto kumsomesha miaka yote hiyo hata mahudhurio ambayo nayo ni sehemu ya nidhamu ya shule yasimletee credit mtoto si vema kabisa.

Mbaya zaidi mitihani inayotungwa zaidi ni ya kuwakomoa watoto si ya kiwango chao, hilo lilishazungumzwa hapo nyuma.
## #hata mtoto asome miaka kumi kama ni mzembe ni mzembe tu & no alternative,hv hapa pakizembewa taifa litakuwaje by future?
 
Huyo ndiye Mulugo na elimu yake ya kuunga unga. CCM Oyeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom