Multiple selection second round

Daah! kwa kifupi ni kwamba kuna vyuo havijapost single selected students ila vimejibu baadhi ya wanafunzi katika status zao.
Ni kweli kuweni makini na account zenu maana majibu yanatolewa direct in our account
 
Ni kweli kuweni makini na account zenu maana majibu yanatolewa direct in our account
Hila kuna hivii vyuoo vitatu
UDSM
UDM
MZUMBE
ni pasua kichwa sijuwii wanataka wanafunzi wafanyaje
 
Sasa hawa wana mpango gani na deadline ya 3rd round ni leo 26th then hawaja release single selected..kweli tabu iko pale pale
 
Mkuu sijakuelewa sasa wanasema hawajamlza kufanya selection hayo majina ya tcu wameyatoa wapi je hao wakifanyiwa selection wanajuaje kama hawachaguliwa vyuo vingine?ili wawe kwenye multiple naomba ufafanuzi wako
Huyu aliongea nao tarehe 24 alafu anakuja kutuletea taarifa za tarehe 24 leo,taarifa zake ni outdated
 
Ni kweli kuweni makini na account zenu maana majibu yanatolewa direct in our account
kweli ase tatizo watu wanasubiri majina yao yapostiwe kumbe kila mtu anayo-account yake anaweza kuingia mara kwa mara kuchek statua

ukikuta status empty inamaanisha hicho chuo husika hawajamaliza selection ndo maana hawajaupdate chochote

majina yaliyopostiwa na TCU around 670 students yasituletee hofu maana vyuo zaid ya vinne vinatoa maelezo yanayofanana kuwa selection hawajamaliza kwa walioapply second round na wapo waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja ila majina yao hayapo huko TCU kwenye multiple selected ingawa account zao zinawapongeza kwa kuchaguliwa .

ukitaka kujiridhisha zaidi ingia kwenye website ya chuo(vyuo) ulivoapply tafuta namba zao za simu au email uwasiliane nao usikae kusubiri majina yapostiwe jamiiforums au tcu
 
Huyu aliongea nao tarehe 24 alafu anakuja kutuletea taarifa za tarehe 24 leo,taarifa zake ni outdated
nimekuwekea namba za udom nilioongea nao jana saa 10 jioni

jaribu kuwapigia kuliko kutumia nguvu kupinga kila kitu then uje utuambie wamekuambiaje
 
TANZANIA NCHIYANGU vip unasemaje kuhusu iyo email hapo ya udsm je na wenyewe wanapotosha !?

+255262310300 hii ni namba ya udom wasiliana nao na wewe ujiridhishe.
Taarifa yako ni outdated,wewe ulizungumza nao tarehe 24 alafu unatuambia leo habari za tarehe 24...selection tayari na ndo mana hivyo vyuo ukiangalia wenye multiple selection kwenye second round na vyenyewe vipo....how comes vyuo ambavyo unadai havijamaliza selection vionekane kwenye wale wa multiple selection??cku nyingine leta current news
 
Ebu achani marumbano cha msingi ni kupeana taarifa watu wajue nini kinachoendelea kama mtuu ana tatizo na majibu ya JF member afuache chuo husika maana hakuna mtu mjinga hapa akatoa taarifa ambayo siyoo sahihi nadhan kila mmoja ana simu na uwezo wa kuwasiliana na chuo husika husilete marumbano hapa wakati watoto wetu hawajapata vyuo had I muda huu
 
nimekuwekea namba za udom nilioongea nao jana saa 10 jioni

jaribu kuwapigia kuliko kutumia nguvu kupinga kila kitu then uje utuambie wamekuambiaje
Jibu swali sasa how comes hawajamaliza selection alafu waonekane kwenye multiple selection ya second round??
 
umeangalia ni tarehe 24 saa ngapi na nenda site ya TCU angalia maji walipost saa ngapi
TCU huwezi gundua majina walipost saa ngapi,huwa hawaoneshi muda waliopost...or we mwenzetu una utaalamu huo nenda kaangalie muda waliopost screen shot then leta hapa
 
Jibu swali sasa how comes hawajamaliza selection alafu waonekane kwenye multiple selection ya second round??
mimi nimewasiliana nao na sio lazima uamini nimeongea nao hapo kuna email ya mtu aliyerepy kutoka udsm na kuna namba za udom.

we fanya kuwasiliana nao then uje na updates hapa maana unavoniuliza maswali bila wewe kuwa na taarifa yoyote kutoka katika chuo chochote haitasaidia
 
Jibu swali sasa how comes hawajamaliza selection alafu waonekane kwenye multiple selection ya second round??
samahani kama hutojali naomba nikuulize swali...

1-uli-apply chuo chochote !?

2-kama uli-apply umechaguliwa chuo chochote !?
 
mimi nimewasiliana nao na sio lazima uamini nimeongea nao hapo kuna email ya mtu aliyerepy kutoka udsm na kuna namba za udom.

we fanya kuwasiliana nao then uje na updates hapa maana unavoniuliza maswali bila wewe kuwa na taarifa yoyote kutoka katika chuo chochote haitasaidia
Yaani wewe unang'ang'ania nimewasiliana nao..nimewasiliana nao...hakuna anayekutaa kuwa hujawasiliana nao nachokwambia taarifa zako zilikuwa valid kipind ambacho unawasiliana nao but kwa sasa ni invalid ndo mana nakwambia usitoe taarifa ambazo ni invalid ulitakiwa uzitoe kipendi wawasiliana nao...kama taarifa zako ni valid how comes chuo ambacho hakijamaliza selection kionekane kwenye majina ya multiple wa second round??
 
Back
Top Bottom