according to TCU na vyuo vyote.. Mwisho ni leo(automatic sa6 kamil usiku}
Ushaur wangu kama hujachaguliwa hii round.. Nenda uombe kweny vyuo hambavyo havina competition kubwa na vina admission capacity kubwa ya koz unayoomba..
Chuo kinachozingua had sasa ni UDOM tu.! Ila vinigine cyote vimetoa majibu angalien kweny profile zenu
Kama hujachaguliwa re-apply.. Cause mda uliobaki ni mchache unaweza jikuta unakosa vyote