Mukama ameikejeli Katiba!

Mukama ameikejeli Katiba!

Kwa hiyo unasemaje?Chadema kifutwe?,sbb Nia yako ndio hiyo.Acha umbea Leta sera zitakazotusaidia Kama vijana wenzio,unakuwa na mawazo mafupi Kama Avunuasi!!!!!!?

Hata mkiletewa yenye maana hamyafuati, mliisha ziba masikio na macho mkafumba sasa mtasaidiwaje
 
Mimi nilijua labda anakitu cha kuleta tujadili eti source MKAMA yaani nayo hiyo ni source ccm wanainajisi nchi na wewe unaburuzwa na hoja zao za kufa maji,unaijua IMF ya kuanzisha CDM mimi nakwambia ngoja CDM ishike dola 2015 utaona Mkapa,jk na mafisadi wote wamepigwa pingu na kuburuzwa mahakamani.Kwani nani anaamini ya BAGBO,BEN ALI wa TUNISIA na ya Mubaraka wa Misri,nani anaamini chama tawala cha MISRI kimefutwa.Sisi chama kitakacholeta maendeleo tutakiunga mkono kama ccm ya NYERERE leo tunawapinga ccm kama tulivyoupinga ukoloni na lazima muondoke hata CDM wakituibia nao tutakuja kuwatoa-TIME WILL TELL
 
GeniusDrain umekosa jibu kwa swali langu? IMF na WB (sometimes UE) wana-spearhead mabadiliko makubwa sana ya kisera na kiutendaji humu nchini. Nashangaa kwa lengo gani una-pin point uanzishwaji wa CDM!! CDM kama zao la Multipartism mwaka 1992 ilikuwa ni move ya hao IMF et al. ESAP (Economic Structural Adjustment Project) ililetwa na IMF so acha chuki za kijinga wewe!!! I am sure umem-quote vibaya Katibu Mkuu wako Mukama.
 
Huyo Osama kesha tupwa kwenye bahari kwa mujibu wa wapambe zake.

Lakini Mukama will return to the centre stage. Kama kauli zake zinakuchefua bora ukae tayari kupambana nazo vinginevyo utasubiri matokeo mengine duniani kukuondelea kero zako..

I get the feeling you gonna be annoyed for along time with that 'Mukama' dude, aint he just started?
 
‘………………………chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha’.

Kauli ya Mukama

My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :

  1. CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
  2. Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk

Kama ni hivyo basi unataka kumaanisha Nyerere alikuwa ni mnafiki kwasababu alishawahi kusema Tanzania kuna chama kimoja tu cha siasa ambacho ni serious na akakitaja wazi kwamba chama hicho ni Chadema hii ni baada ya kufuatilia sera na malengo yake. GeniusBrain unatakiwa kupongezwa kwa maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana lakini husiti kuandika chochote unapopata mda wa kufanya hivyo, kwa hilo nakupongeza maana nakumbuka mimi nikiwa mdogo nilikuwa na uwezo finyu sana wa kufikiri lakini sikuwa na ujasiri wa kuzungumza pumba zangu wazi wazi.
 
‘………………………chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha’.

Kauli ya Mukama

My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
  1. CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
  2. Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk

mimi bado sijaota gamba, bora nijiondokee kivyangu
 
pole sana wewe sijui nani brain vile, walokutuma wamekukaanga, think twice and come again, CDM itazidi kuwashika sana tu, kama wanaoifadhili ni watu wa nje kama unavyodai basi wanawatakia mema watanzania!

Lakini kufadhiliwa kutoka nje si ndo mambo ya JK? Hivi siku hizi ameacha kutembeza bakulinkule majuu?
 
‘………………………chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (IMF). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na Nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha’.

Kauli ya Mukama

My take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :
  1. CDM ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
  2. Kama aliye kianzisha alikorofisha na Mwasisi wa Taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana CDM inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya Arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk

Harebrained Mind..................
 
wewe ni mjinga! ccm imefanya nini miaka yote hiyi wamekuwa madarakani? Hata kama chadema ni ya marekani, ni bora wao kuliko ccm. Ni bora kuwa utumwani kuliko kuwa chini ya utawala wa ccm!!
 
teh teh teh!! hata kama ni cha IFM kosa likowapi km lengo la chama ni kuwakomboa wanyonge?
 
Elewa maana ya kuanzishwa ilivyo andikwa kwenye thread yenyewe. Na hili liko wazi IMF ndio walioanzisha vyama vingi kwa shinikizo zao

GeniusBrain, ungejipatia nakala yako toka kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Tanzania utaelewa vyama vya siasa vinaanzishwaje na vinaendeshwaje hapa nchini. Inference yako ya IMF & CHADEMA hapa unataka kuaminisha wasomaji kuwa CHADEMA wanafanya mambo sivyo kwa maana nyengine wanavunja mojawapo ya masharti ya kuendesha chama cha siasa. Sasa, kama ni kweli kwanini Ofisi ya msajili wa vyama haijakifuta CHADEMA?

Pili unafahamu nini kuhusu tume ya Late Judge Francis Nyalali? Kwa taarifa yako kwenye tume hiyo 80% ya watanzania walioshiriki walisema wanataka chama kimoja. Only 20% ndio walisema wanataka vyama vingi. Nirudie maneno niloyoandika hapa jamvini siku za hivi karibuni kwamba Mwl Nyerere kwa kutumia kipaji chake na maono (vision) aliwashawishi viongozi wenzake wakubaliane na 20% (badala ya wengi wape 80%) wa kuwepo na vyama vingi. Na sababu kuu ni kwamba Mwl Nyerere aliona kinachotea leo huko Tunisia, Misri, Yemeni, Libya na kwengineko na ametupusha na matatizo hayo. Tanzania tumeingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila vurugu. Nyerere hakuwahi kufanya kazi IMF. He was a visionary leader. Na vyama vya siasa vinapata ruzuku (wengine wanapata msaada kupitia EPA!!!)

Nirudie point yangu kwamba tuache madharau kwamba watanzania hatuwezi kufanya maamuzi bila watu wa nje. Ukoloni.
 
'………………………chama kimeanzishwa kwa shinikizo la shirika la fedha ulimwenguni (imf). You can quote me on this (nikariri katika hili) . Yule aliyetofautiana na nyerere ndiye aliyekwenda kukianzisha'.

kauli ya mukama

my take : Kama hali ni hii basi haya pia yapo :

  1. cdm ni chama cha kutoka nje na kinafadhiliwa na watu wa nje kuivuruga nchi. Ili wakifanikiwa kuchukua dola, wale walio watuma na kuwafadhili wawalipe fadhila
  2. kama aliye kianzisha alikorofisha na mwasisi wa taifa hili , basi alikuwa hana akili na adabu. Kutokana na msingi wa laana hiyo basi ndio maana cdm inazidi kuwatafuna kwa kutotii sheria za nchi. Mifano ipo wazi kabisa mauaji ya arusha , utovu wa nidhamu bungeni nk

ama kweli, kuishi ni kuona mengi!

Hapa sasa naamini dr. Slaa kipindi cha kampeni mwaka jana alikuwa anayatamka maneno ya mgongo wa imf. Twamshukuru mwenyezi mungu, kura zake hazikutosha vinginevyo nchi ingekuwa pabaya
 
Viongozi wa sasa wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mtei. Mtei hakukubaliana na sera za Mwalimu kuhusiana na Uchumi. Ishu ilikuwa kushusha thamani ya shilingi ili TZ ikopeshwe na IMF. Mwalimu hakupenda hili, kwa kujua hulka ya Mwalimu na kwa utashi wake akaandika barua ya kujiuzulu akaenda kumpa Mwalimu nyumbani kwake Msasani. Alipofika aliulizwa kama hajakutana na mtu wakati anakwenda kwa Mwalimu. Mtei akajibu hajakutana na mtu. Mwalimu nae alikuwa ameshamwandikia barua akimtaka ajiuzulu, Mtei alipishana na mtu aliyekuwa ampe barua kutoka kwa Mwalimu. Mtei alikubaliwa kujiuzulu na baada ya muda alipewa nafasi nyingine serikalini. Kitu cha kujifunza hapa ni kusimamia unachoamini, maana sera za Mtei zilikuja kutekelezwa muda si mrefu baada ya yeye kujiuzulu. Nchi gan maskini leo haitekelezi masharti ya IMF? Serikali haikopi fedha IMF?

Viongozi wetu siku hizi hawawezi kusimamia wanachoamini, tena wapo wengi. Kuna Celina Kombani, Werema na wengine wengi. Enzi za Mwalimu hawa wote wangejiuzulu. Fikiria Rais Kikwete anashauri mtihani wa darasa la nne na kumi (form two) usiwe kikwazo cha mtu kuendelea na masomo, hakuna hata mtaalamu mmoja wa elimu pale wizarani aliyempinga (kuna maprofesa wengi tu pale) kwamba hatuna namna nyingine ya kupima uelewa wa wanafunzi na kuwasaidia. Kurudia darasa si adhabu, ni kumpa mwanafunzi nafasi ya kujifunza tena ambacho hakuelewa. Wanabaki wanasema chini chini kwamba hapa ushauri wa mkuu sio mzuri.

Chadema inafadhiliwa na mataifa ya nje. Je bajeti ya serikali yetu nani anachangia? Mataifa ya nje ni mabaya kwa chadema ila mazuri kwa Serikali? CCM inafadhiliwa na nani kama sio kodi zetu kupitia EPA, Kagoda, Richmond na Meremeta? Mikataba mibovu ya madini wamesaini chadema? Nani kawapa mabepari migodi na mashirika yetu kwa bei karibu na bure? Mangungo wa Msovero ni nani leo hii?
 
Sio mwaka jana tu, hata maandamano wanayo fanya hivi sasa ni maagizo ya IMF. Jamaa hawa ni vibaraka si wenzetu mkuu
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza jana niligundua Wilson Mukama ni gamba gumu ambalo CCM imeamua kulivaa baada ya guvua gamba lingine zero Makamba.
Jamaa inaonyesha aliamshwa kutoka huko alikokua anamalizia muda wake uliobaki duniani
 
Back
Top Bottom