Muite girlfriend wako majina romantic

Muite girlfriend wako majina romantic

Ananiitaga beautiful namuita handsome.
Ingawa naenjoy zaidi akiwa ananiambia ananipenda ile " nakupenda Yna2 wangu"..
Toka mmefall In love mpaka leo still yna2...mfundishe majina mengine kama honey,sweety,
 
Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana...!

Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby"
We kila siku unamwita kwa jina lake Mara Aisha,Zuhura,Catherine,Adija..

Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress(hasa kwa wanawake)

Alafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"
Hebu mjifunze kuwa romantic jamani!!
Umuite baby wakati unamlisha ugali dagaa wiki mbili atakuelewa kweli,si utazidi kumpandisha hasira matokeo yake ukose kila kitu...
 
Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana...!

Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby"
We kila siku unamwita kwa jina lake Mara Aisha,Zuhura,Catherine,Adija..

Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress(hasa kwa wanawake)

Alafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"
Hebu mjifunze kuwa romantic jamani!!
Swaga hizo zilipendwa mbona hamsikii, nyakati hizi bila pesa unajidanganya tu unazitafuta presha zinazoweza kuepukika
 
Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana...!

Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby"
We kila siku unamwita kwa jina lake Mara Aisha,Zuhura,Catherine,Adija..

Utafiti unaonesha kumuita mpenzi wako "baby"ni njia mojawapo ya kumfanya apunguze stress(hasa kwa wanawake)

Alafu eti hata wakati mwingine MTU akiwa na washkaji zake anavyowasimulia kuhusu mpenziwe anatumia neno "demu"
Hebu mjifunze kuwa romantic jamani!!
Usitutishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom