Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE
@AbroadTanzania

1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.

2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.

3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!

4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya

5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema

6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya

#KataaWahuni
Pole pole atafte kazi nyingine ya kufanya
 
Kwanza aombe radhi kwa wananchi ,na pili akili kua waliyoasisi kipindi kile cha Jiwe leo kimewarudia happ sasa ndo nitaamini huyu anaomba toba vinginevyo ni kelele tu zisizokua na maana.
 
CDF mstaafu akisema ataje wahuni waliokuwa hawataki Mama Samia awe rais mara baada ya kifo cha JPM huyu Polepole jina lake lazima liwe tatu bora. Mama ni mvumilivu sana.
 
CDF mstaafu akisema ataje wahuni waliokuwa hawataki Mama Samia awe rais mara baada ya kifo cha JPM huyu Polepole jina lake lazima liwe tatu bora. Mama ni mvumilivu sana.
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
  • Thanks
Reactions: naa
CDF mstaafu akisema ataje wahuni waliokuwa hawataki Mama Samia awe rais mara baada ya kifo cha JPM huyu Polepole jina lake lazima liwe tatu bora. Mama ni mvumilivu sana.
Mbona hueleweki utafkiri sigara kali, mara Cdf mara mama. Unakuwa kama bed to bed midfielder
 
Atuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee šŸ¤”šŸ¤”
Hujasoma kijitabu cha Kabendera? Maana huu ndio ukweli wa watu wenye upeo mdogo wa kufikiri wanavyotaka
 
Job Ndugai akajifanya ni mtu wa kulinda maslahi ya walafi lakini haikuchukua muda akamwagwa!
Job ilikuwa mapema aliona maisha yatakuwa magumu, lakin usikute ana madeal yake akahofu yasijevurugika, sasa pole pole ana madeal gani wameishia kumteka dada yake ambaye hausiki chochote
 
kuonesha kuwa mchakata haukuenda kulingana na sheria waliojiwekea CHAMA

Hajasema sheria za chama zifuatwe, kasema desturi za chama.

Yeye haamini katika sheria za chama (KATIBA).

Ndo maana kasema kidesturi kuna watu hawaruhusi na CCM kupanda kuwa Rais, yani Spika, PM, na VP.

Lakini katiba ya CCM inasema mwanachama yeyote anaweza kugombea chochote.

Balozi anasema kuna desturi zinaipandia sheria iliyoandikwa. Hiyo ndio mentality aliyoitumia Kikwete, hakuna kufata sheria za fomu. Asimlaumu Kikwete. Kikwete na yeye wote sawa.

Sheria iliyoandikwa kwenye makaratasi kwa Mwafrika ni kitu kigeni, kigumi, kinamkera sana Mwafrika.

Sheria ya kwanza Uingereza ilitungwa mwaka wa 1215. Tunahotaji miaka 800 ka.a wao ili tuelewe sheria ni nini.

Kwanza aombe radhi kwa wananchi ,na pili akili kua waliyoasisi kipindi kile cha Jiwe leo kimewarudia happ sasa ndo nitaamini huyu anaomba toba vinginevyo ni kelele tu zisizokua na maana.

Sawa kabisa, ni kweli kabisa, haya yaliasisiwa na kina Magufuli.

Je hawa wa sasa, do they get a pass (wanapeteshwa, wanasameheka) kwa saab eti hawakuyaanzisha wao?

Tena wanayaendeleza moto chini. Watu wananyopolewa vitandani mbele ya wake zao hapo hapo sebuleni wanapigwa rungu la kichwa puuuuu, wanaburuzwa nje, abiria kwenye basi mchana kweupe mjini sio shambani anayopolewa anatobolewa macho anamwagiwa tindikali, watu wanaitwa polisi wafate mali zao, wanapotea jumla.

Hapo unasemaje mimi sijayaanzisha lakini unayaendeleza na moto ule ule au zaidi ???????
 
Back
Top Bottom