Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

Hajasema sheria za chama, kasema desturi za chama.

Yeye haamini katika sheria za chama ( KATIBA).

Ndo maana kasema kidesturi kuna watu hawaruhusiwagi na CCM kupanda kuwa Rais, yani Spika, PM, na VP.

Lakini katiba ya CCM inasema mwanachama yeyote anaweza kugombea chochote.

Sheria iliyoandikwa kwenye makaratasi kwa Mwafrika ni kitu kigeni, kigumi, kinamkera sana Mwafrika

Sheria ya kwanza Uingereza ilitungwa mwaka wa 1215. Tunahotaji miaka 800 ka.a wao ili tuelewe sheria ni nini.



Sawa kabisa, ni kweli kabisa haya yaliasisiwa na kina Magufuli.

Je hawa wa sasa, do they get a pass ( yani wanapeteshwa, wanasameheka) kwa saab eti hawakuyaanzisha?

Tena wanayaendeleza kwa moto mkali zaidi. Watu wananyopolewa vitandani mbele ya wake zao hapo hapo sebuleni wanapigwa rungu puuuuu, wanakuburuza nje, kwenye basi la abiroa mchana kweupe mjini sio shambani, watu wanaitwa polisi wafate mali zao, wanapotea jumla.

Hapo unasemaje mimi sijayaanzisha lakini unayaendeleza na moto ule ule au zaidi ???????
CCM ni wale wale tena leo hii press binafsi sijaona alichoongea kinachoshtusha zaidi ya kung'ata ng'ata maneno na kuona aibu. Pole pole ni kansa usaliti unamtafuna siwezi kumuamini kama alivyo Zitto Zuberi Kabwe.
 
2020 jpm alishindana na nani kwani huko ccm
 
Kuna hii tetesi: eti dada wa polepole ametekwa usiku kuna ukweli?
 
SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE
@AbroadTanzania

1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.

2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.

3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!

4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya

5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema

6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya

#KataaWahuni
Chamkosaji,mbona mtasema sana mwaka huu
 
imeniumiza sana kusikia dadake katekwa. siku hizi watu wanaogopa kituo cha polisi kuliko hata genge la majambazi. watu wakienda polisi wakirudi salama wanashukuru Mungu wakati zamani polisi walikuwa kimbilio. majumbani watu wanaona bora jambazi la kutumia silaha lije unaweza kulirushia pesa likaondoka kuliko kusikia polisi wapo nje wanakutafuta, ni ajabu sana hapa nchi ilipofikia na nchi zingine hata hazipo hivi.
 
Back
Top Bottom