Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,670
- 3,271
Hatari sanaa!!
Ndio uone huyu pole pole hamna kitu ila chadema walivokua wanmsubiriaSijaelewa hiyo namba 4, Magufuli si kulikuwa na fomu 1 na kura za maigizo?
Sasa mbona amegwaya kuchukua, tukajiuliza zile hela za kuchukulia fomu alizochangiwa na Viwete kapeleka wapi?Hata Samia angechukua fomu,bado angeshinda tu
Hakika.Angalau Jiwe alichukua hata hiyo fomu
Wewe umejificha kwenye ID fake unataka wenzako wafunguke!! Aisee.Mpaka awataje watekaji Kwa majina ndo nitamwelewa
Ingeleta maana kama angeulizwa mtu sahihi.Atuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee 🤔🤔
usichoelewa nini
sheria ni kuwa mgombea awe nje mchakato ukiendelea
yeye SAMIA alikataa kutoka nje
ndio mana polepile akasema kuwa hata magufuri alitoka nje kuonesha kuwa mchakata haukuenda kulingana na sheria waliojiwekea CHAMA
nina pesa kushinda ukoo wako wote, mark my words.Wenye pesa hawana kelele,mazuzu hawanaga hela
#Kataa wahuni#Huu mtikisiko hautotulia!
Kwa hiyo tutegemee msajili wa vyama vya siasa aliyeisimamisha CDM afanye kazi yake kwenye chama tawala?Nilichodaka mimi ni kuwa Samia siyo mgombea halali wa CCM kwa sababu mchakato uliompitisha ulikuwa haramu na siku zote haramu huzaa haramu.
Enzi za jiwe aliufyata kimya, na sisi atutaki wanafiki. kipindi kile alitamba wanatembelea mavietee. amuache mama naye atambeee 📢📢📢
Hayo hawezi kuyaongelea kwa sababu anahusikaAtuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee 🤔🤔
Mnapenda sana porojoHizi point 2 ni NONDO haswa tunawataka kujua hao Wazee wanaokataa kwenye Colido ila wakiingia kwenye Vikao wanaogopa kufa ni akina nani?
Taratibu za chama zingefuatwa na kura zikawa za siri samia asinge pata 30% ya kura zoteHata Samia angechukua fomu,bado angeshinda tu
Mkuu, umemsikiliza alivyofafanua, kwa mfano hiyo pointi ya 2 hapo juu?Polepole hajaona kosa la Samia katika utawala wa Samia .ila mchakato wa kumpata Samia ndio kaona una makosa
Wenye pesa hawasemagi JF kuwa wanapesaWewe akili zako zimekusaidia nini? sina akili sawa, lakini nina pesa kuzidi ukoo wako wote
Aaah wapi, hajipendi, kwanza yuko above 70 years yuko hapo kwa hisani ya mamlaka ya uteuzi tu.Kwa hiyo tutegemee msajili wa vyama vya aliyeisimamisha CDM afanye kazi yake kwenye chama tawala?