Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Emu fafanua ndugu msemaji wa Jobu NdugaiNamba 3 ni uongo. Hakutamka "Utauwawa". Kasema "utaondoka hapa" akimaanisha Bungeni.
Emu fafanua ndugu msemaji wa Jobu NdugaiNamba 3 ni uongo. Hakutamka "Utauwawa". Kasema "utaondoka hapa" akimaanisha Bungeni.
Kwani hawajulikani? Wewe tu ndio hawajui. Ile sheria iliyopitishwa na wabunge kuhusu vyombo visivyo polisi nao kukamata hukusikia?Mpaka awataje watekaji Kwa majina ndo nitamwelewa
Angalau Jiwe alichukua hata hiyo fomuSijaelewa hiyo namba 4, Magufuli si kulikuwa na fomu 1 na kura za maigizo?
Bila kusahau aliemchapa Tundu Lissu risasi 16.Mpaka awataje watekaji Kwa majina ndo nitamwelewa
Hata Samia angechukua fomu,bado angeshinda tuAngalau Jiwe alichukua hata hiyo fomu
Kuna watu kuwaeleweshe inabidi uwe umeshika Fimbo ndio wanaweza kukuelewa sababu wana LOWIQAngalau Jiwe alichukua hata hiyo fomu
Hahhahaapole pole hana hoja, anaropoka ropoka tu
usichoelewa niniSijaelewa hiyo namba 4, Magufuli si kulikuwa na fomu 1 na kura za maigizo?
Achana na hayo kwanzaAtuambie pia nani alimpiga lisu risasi na nani alimtekaa Ben sa8 ,ndio hayo menginee yafate tumueleweeee 🤔🤔
Tanzania mpya yaja n suala la mdaSUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE@AbroadTanzania
1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.
2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.
3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!
4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya
5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema
6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya
#KataaWahuni
Tunajua hauna akilipole pole hana hoja, anaropoka ropoka tu
Magufuli alikuwa akifanyia vikao vya CCM Ikulu, huu utaratibu nao vipi? Mbona hakuwahi kuuzungumzia?usichoelewa nini
sheria ni kuwa mgombea awe nje mchakato ukiendelea
yeye SAMIA alikataa kutoka nje
ndio mana polepile akasema kuwa hata magufuri alitoka nje kuonesha kuwa mchakata haukuenda kulingana na sheria waliojiwekea CHAMA
Wewe akili zako zimekusaidia nini? sina akili sawa, lakini nina pesa kuzidi ukoo wako woteTunajua hauna akili
Wenye pesa hawana kelele,mazuzu hawanaga helaWewe akili zako zimekusaidia nini? sina akili sawa, lakini nina pesa kuzidi ukoo wako wote