Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

pole pole hana hoja, anaropoka ropoka tu

Hata kujua hoja ni lazima uwe na akili angalao ile ya kawaida. Kwa akili hiyo ya kwako huna uwezo wa kujua. Hiyo ya kwako ni ya kukuwezesha tu kufikisha chakula mdomo na kuvaa suruali.

Waache waliokamilika vichwani wajadili hoja za Polepole.
 
Namba 3 ni uongo. Hakutamka "Utauwawa". Kasema "utaondoka hapa" akimaanisha Bungeni.
Mkuu, hakusema lakini ndicho alichomaanisha.

Watch his gestures and body languages, na pia ametumia muda mrefu sana ili kujaribu kufikisha ujumbe huo huo makhsusi.

Jiulize, kwa nini akasema spika alimsihi tena na tena kwa upole kama anaumia vile???

You aren't getting it, are you?
 
Hamna Rais Amepitia wakati MGUMU kama huyu SAMIA kuna wakati namuonea huruma naona ni kama wanamtisha afanye wanacho taka.

Wakimpa MFANO hai wanamwaambia Tuliweza kumuondoa MAGUFULI hata wewe tukitaka Unaondoka FANYA 1 2 3...

Ndugu zanguni tumuangalie lia SAMIA kwa jicho lingine tumuangalie kwa jicho la BEN SAA 8 na kina LISU waliopgwa RISASI tumuangalie na yeye kama VICTIM anaetishiwa na kupangiwa cha kufanya asipofanya atafanyiziwa.

Vaeni Viatu Vyake tusiangalie hii Picha upands MMOJA kuna namna namuona SAMIA hawezi fanya yanayofanyika kuna WABABE wenye hii NCHI hao ndio wajulikane.

Jambo ambalo haliwezekani ni hao kujulikana,

Cha kufanyika ni Kuwatoa CCM wakae PEMBENI then UPINZANI UINGIE MADARAKANI HATA KWA MUHULA MMOJA TU wa Miaka mi 5

Naamini ile Mijitu isiyoshikika itaondoka tu ikikosa POWER ya ku control..

URAIS hii nchi MGUMU hasa utokeee CCM ndio uwe RAIS usipokua kama JPM hutoboi na ukiwa kama JPM watasema kifaa cha moyo kiliiisha chaji.
 
Hata kujua hoja ni lazima uwe na akili angalao ile ya kawaida. Kwa akili hiyo ya kwako huna uwezo wa kujua. Hiyo ya kwako ni ya kukuwezesha tu kufikisha chakula mdomo na kuvaa suruali.

Waache waliokamilika vichwani wajadili hoja za Polepole.
Anadhani kwamba hoja lazima ziendane na matusi ndipo ziwe hoja.

Alitarajia Polepole angeingia kwenye mtego huo.
 
Cha kufanyika ni Kuwatoa CCM wakae PEMBENI then UPINZANI UINGIE MADARAKANI HATA KWA MUHULA MMOJA TU wa Miaka mi 5
Unajuaje hawatokuwa huko kwa wapinzani?

Kitu cha msingi wataje hapa mkuu ili tuwafungulie mashtaka kwa Hakimu Mkazi Kisutu.
 
SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE
@AbroadTanzania

1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.

2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.

3. Asema ndugai alimuonya kuhusu shule ya uongozi na kusema asipoacha atauwawa!

4. Asema kwamba Hata Magufuli alitoka nje kupigiwa kura upya

5. SERIKALI ya Samia kumejaa wahuni wanaomzunguka Ndo sababu ya kwanza kujiuzulu ili awe huru kusema

6. Wazee kwenye colido wanamkataa Samia Ila kwenye vikao wanakaa kimya

#KataaWahuni
Ajenge hoja zake yeye kama yeye. Aache kuingiza wengine. Hiyo ni fallacy!
 
Back
Top Bottom