Kamjingijingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2009
- 806
- 129
wachagaaa kwa pesaa ni hatari mengi unataka gesi kwa ngumvu kama ulivo chukuwa tanzanait.
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...
Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri
Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania
Kama ana uhakika hizo hela za udalali walipiga wote ye na.... .... ataacha kujiamini??Anajua kwanini anasema hivyo tena kwa kujiamini mno
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...
Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...
Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...
Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri
Wale walikubali kujiuzulu, hawa akina Mongo wamegoma kujiuzulu.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk