Muhongo: Mimi Bado Waziri!

Muhongo: Mimi Bado Waziri!

nikisomaga post za humu najiuliza maswali mengi sana bila majibu,na hata mitandao mingine ya kijamii,watu wanavyoandika,siamini macho yangu
 
Mengi naye siyo mtu wa maana sana. Tusimkopeshe ili mkikutana mwambieni. Ni mkabila munoooo! Yeye anaamini anaunda makampuni kwa ajili ya wachaga tu. Sabotage za kikabila kwa makampuni mengine. Eti Moshi hakuna maji ya Uhai, soda za pepsi, nk. Inatusaidia nini sisi makabila mengine? Mbona bidhaa zake zinauzwa mikoa minginea?

asitake kujiona yeye ndo kila kitu!

Mara ya mwisho umeenda moshi lini?
 
Hakuna Popote pale duniani bepari amepata kutetea wanyonge, mtetezi wa wanyonge huwa hatajiriki, Mengi anatetea maslahi yake, migodi anayomiliki na Vitalu anavyotamani, thats it, amkeni Wabongo
Ni heri anayekula akakumbuka wanyonge japo kwa kuwaangushia makombo ya mezani kuliko Wanaojidai ni wasomi, wanasiasa,matajiri maarufu wezi wanaoiba pesa za walalahoi tena kwa kutumia mifuko ya rambo na viroba mchana kweupe bila hata haya usoni!!!!!.....
 
We utakuwa na tabia za kishoga mengi katokea wapi huku ukisikia muhongo ujuwe muongo kweli na ukisikia kubwa jinga ujuwe kubwa jinga kweli !!
Huyo atakuwa alimshawishi Dr. Mengi amle jicho alipokataa ndiyo bifu lisilo na kichwa wala miguu lilipoanza....
 
Piga kazi Mh. waziri tunaokujua vyema hatuna shaka nawe watashindana kamwe hawatashinda
 
Back
Top Bottom