Muhongo: Mimi Bado Waziri!

Muhongo: Mimi Bado Waziri!

Uongozi na maadili bado ni kitu kingine kabisa.

Uprofesa ni ualimu na kufanya tafiti nyingi zinazokubalika katika somo lako au around somo lako na kusimamia wanafunzi wake ki-academic.
Halafu baada ya muda maprofesa wenzio wanakaa kikao maalumu kwa ajili ya mtu kupewa uprofesa usu au uprofesa kamili.

Uadilifuuuuuuuuu.............siyo uprofesa.

Uadilifu ni sehemu ya criteria ya promotion .....please!

Na siyo ma profesor wanaopandusha wenzao ni baraza la chuo baada ya kupitishwa na vikao husika katika chuo!
 
Kwa maoni yangu,suala hili limemalizwa vizuri sana.JK hana namna atakubaliana na mapendekezo ya bunge ili kuendelea kupata misaada
 
Wabunge wa upinzani hawana msimamo kabisa. Wanadanganyika kama watoto wa chekechea
 
ukishatumia pesa kutengeneza mfumo wa haki katika utawala? anyway,leo mnamshabikia Mengi kamtoa Mhongo lakini siku si nyingi mtayaona mda ukifika ..ni fitina,chuki,unafiki,ghiriba dhidi ya watu

Hv anaeshabikia mengi kumtoa muongo nani huyo nimfahamu? Kitakacho mtoa mhongo pale ni taratibu zilizotumika kutoa ile hela, na wala co yeye tu hata w/mkuu ingebidi aeajibike kwan ni fedheha kwa taifa ukizngatia BOT ni taacc kubwa. Hakuna unafiki hapo we ulickia wap hela nyingi vle wanachukua kwa cash? Hapa ndo ambapo ccm imetufkisha
 
Msdaraka hulevya.ila madaraka yasiyo mipaka hulevya kupindukia...amechanganyikiwa.
 
Mnamshabikia Mengi kwa sababu hamumjui, ukimjua vizuri hutampenda hata kidogo.
Wenye moyo wataijenga hii nchi, wenye meno watatafuna tu akiwemo huyo Mengi wenu.

Alitaka kushindana na nguvu ya pesa sasa anakiona cha mtema kuni. Akitolewa tu utasikia Mengi kamegewa kipande cha gesi
 
Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania
Wala sitoshangaa JK asipomtimua Muhongo.
Na pia sitoshangaa Tibaijuka na Chenge kupewa vyeo vinono zaidi.
 
Mnamshabikia Mengi kwa sababu hamumjui, ukimjua vizuri hutampenda hata kidogo.
Wenye moyo wataijenga hii nchi, wenye meno watatafuna tu akiwemo huyo Mengi wenu.

umesema kweli mkuu...big up.si vyote ving.'aavyo ni dhahabu.
 
Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda

Kipindi cha Operation Tokomeza hakuna waziri aliyevuliwa uteuzi wake na bunge nakumbuka Kaghasheki yeye alijiuzuru wakati wengine Waziri mkuu Pinda alisema kwa maagizo ya raisi pia uteuzi wao umetenguliwa.

Bunge halina mamlaka ya kumwajibisha Waziri yeyote isipokuwa wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na kura ule ikiridhiwa na bunge na PM aking'oka maana yake baraza lote limeg'oka
 
Napita jamani nawahi usafiri wa kwenda dar maana kesho asubuhi itakua shida kwenye kukata tiketi
 
Inawezekana PhD ya muhongo in ya wizi wa maandishi ndiyo maana yuko arrogant
 
labda kama wabunge wote wa bunge la Jamhuri wameteuliwa na raisi.hapo ana haki,ila kama sivyo,atafute bunge ambalo anahisi wabunge wote wameteuliwa na raisi.
 
Hii ni aibu sana kwa wale waliokuwa wanaiombea mabaya serikali ya CCM.

ficha upumbavu wako,nani alikiombea chama cha mapinduzi mabaya,ukiwa CCM hutakiwi kuwa mnafiki,KINANA,NAPE,WASIRA,FILIKUNJOMBE,LUGORA,MWANDOSYA,hawa ni CCM IMANI,na wamekataa kukumbatia uchafu,wewe utakuwa ulinunuliwa KADI ya chama,ndio mana huumizwi na watu wanatumia CCM kama groves kufanyia maovvu,alafu wazalendo wakae kimya,mimi kadi yangu nimenunua mwenyewe,ngoja nikuambie katiba yetu inasema
KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2012
18. Ni mwiko kwa kiongozi:-
(1) Kutumia madaraka aliyopewa ama
kwa ajili ya manufaa yake binafsi au
kwa upendeleo, au kwa namna
yoyote ambayo ni kinyume cha lengo
lililokusudiwa madaraka hayo.
(2) Kupokea mapato ya kificho, kutoa
au kupokea rushwa, kushiriki katika
mambo yoyote ya magendo au
mambo mengine yaliyo kinyume cha
lengo lililokusudiwa madaraka hayo.
(3) Miiko mingine ya Viongozi itakuwa
kama ilivyowekwa katika Kanuni
zinazohusika
 
Anachosema Muhongo ni sahihi kabisa.
Yeye bado ni waziri mpaka JK atakapoamua kumvua uwaziri na pia kuna uwezekano asimvue akaendelea kuwa waziri.

Lakini wahuni gani na wala rushwa anaosema hawawezi kumvua uwaziri?

Rais asimwondoe aendelee kufanya kazi na wahuni na wala rushwa (wabunge)? Tutaona
 
ha ha ha ha ha ha ha........jamaa kachanganyikiwa.

Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni rais tu na siyo wahuni wa bungeni. Hawezi kubabaishwa na wahuni na wala rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale rais atakaposema basi...

Hapa dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba bunge limemvua madaraka ya uwaziri

udhaifu wa jk unawafanya watu wake kujiona ndio mabwanyenye wa taifa hili!!!
 
Back
Top Bottom