Nakubaliana na wewe.Kwa kuwa Pinda yu salama..Pinda ndiye atakayejitahidi kuhakikisha Muhongo na wenzake wanaondoka ili mwezi January arudi Bungeni akiwa shujaa kwa kutekeleza maagizo ya Bunge na hivyo kuondoa kiwingu hiki "kwenye ile safari yake ya kimyakimya kwenda ikulu"
Kwenye hili JK atachagua kama aendelee na Muhongo bila Pinda au Pinda bila Muhongo.
Uprofesa wa watu unafanya kazi zaidi madarasani kwenye vyuo wanavyofundisha wanafunzi wao, tena tu kwa masomo yao waliyo bobea, siyo kila somo.
Linapokuja swala la kiuongozi, kiutawala, kimaadili; nafasi ya ki profesa imesha prove kuwa haina maana sana, ila ni malezi zaidi ya mtu pamoja na timu iliyomuzunguka ndo vinazaa mtumishi mwema au mmbaya.
Kusoma ni kitu cha muhimu sana katika shughuli nyingi za kimaisha, isipokuwa uprofesa uachwe madarasani ndo unakofanya kazi vizuri.
Profesa ni mwalimu wa chuo kikuu aliyebobea kwa somo lake. Uongozi na uadilifu ni kitu kingine kabisa.
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa.
Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa Bungeni. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi...
Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto.
Haamini kwamba Bunge limemvua madaraka ya uwaziri
Anachosema Muhongo ni sahihi kabisa.
Yeye bado ni waziri mpaka JK atakapoamua kumvua uwaziri na pia kuna uwezekano asimvue akaendelea kuwa waziri.
Nyinyi watanzania mtaendelea kuwa wajinga sana,sasa kila mmoja anajua pesa ndo imetumiwa kuwaondoa hawa watu alafu mnashabikia wakati huohuo mnataka waje watu wasafi,watatoka wapi na wakati pesa ndo inatumika? na ukishatumia pesa unawezaje kutengeneza mfumo wa haki katika utawala? anyway,leo mnamshabikia Mengi kamtoa Mhongo lakini siku si nyingi mtayaona mda ukifika ..ni fitina,chuki,unafiki,ghiriba dhidi ya watu
wabongo tulivyo, jamaa akirudi wizarani utaona wakina baba na wakina mama wanasukuma gari lake kuanzia kimara mpaka wizarani kwa maandamano yasiyo rasmi.
Ukawa wakiongozwa na Mbowe wamehongwa na Serikali ndio maana wamekubali kufanya maridhiano ya KIJUHA.
Jiandae kisaikolojia kuhusu action itakayochukuliwa na Rais.Do you want to tell Tanzanians that Mr President is so cheap to that extend? Kaa ujue kuwa survival ya CCM imewekwa rehani mikononi mwa Mh JK
Uprofesa wa watu unafanya kazi zaidi madarasani kwenye vyuo wanavyofundisha wanafunzi wao, tena tu kwa masomo yao waliyo bobea, siyo kila somo.
Linapokuja swala la kiuongozi, kiutawala, kimaadili; nafasi ya ki profesa imesha prove kuwa haina maana sana, ila ni malezi zaidi ya mtu pamoja na timu iliyomuzunguka ndo vinazaa mtumishi mwema au mmbaya.
Kusoma ni kitu cha muhimu sana katika shughuli nyingi za kimaisha, isipokuwa uprofesa uachwe madarasani ndo unakofanya kazi vizuri.
Profesa ni mwalimu wa chuo kikuu aliyebobea kwa somo lake. Uongozi na uadilifu ni kitu kingine kabisa.
Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya WatanzaniaJiandae kisaikolojia kuhusu action itakayochukuliwa na Rais.
Huenda akamtimua Muhongo lakini akamwacha Werema and vice versa.
Na pia huenda ikachukua muda mrefu kidogo tofauti na unyeti wake.
Ukifikia level hiyo unategemewa umepita challenge nyingi sana za ki academics, kiuongozi na kimataifa ndiyo maana nchi za wenzetu hata UN na organ zake wapi wengi japo hawatumii hicho cheo.....
Tatizo lipo kwetu Africa kwakua tuna inferiority complex mara nyingi mchujo wa kufikia hiyo level mara zingine hazipo objective sana.... Ndiyo maana baadhi ya hao wa huku kwetu ni vituko!
Jiandae kisaikolojia kuhusu action itakayochukuliwa na Rais.
Huenda akamtimua Muhongo lakini akamwacha Werema and vice versa.
Na pia huenda ikachukua muda mrefu kidogo tofauti na unyeti wake.
Rais hawezi kumtimua mtu ambaye alimwachusha shughuli zake na kumuingiza kwenye mkenge wa kisiasa. Amini usiamini. Muhongo ataendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Watanzania