Huyu prof anafikiri irrationally and negatively all the time! Niliwahi kuandika humu kuwa arudi chuo kufundisha ili awakamate wanafunzi wake kwani ndo furaha yao! Siasa na uongozi hasa uwaziri ni mzigo mzito mno kwake. Umeme alioahidi utakuwepo imekuwa ndoto kwetu na gesi yetu kawapa wachina na sasa anagombana na Mengi.!?
Huo muda anaopoteza kutafuta data za Mengi kwanini asiutumie kufanya tafiti zenye manufaa kwa taifa? Au keshachukua 10% kwa wachina so, anahamisha mawazo yetu kwenye mambo ya uwekezaji ili auze vitalu haraka?
Kiukweli mawazo na maoni ya Mengi ni ya msingi sana katika nyakati hizi. Tupewe rasilimali zetu tumiliki wenyewe jamani. Sio fulana na t-shirt za wagombea wa ccm tunazohitaji!!!!!
Mhongo should've to think wide acha longolongo na Mengi!!!!!