Muhidin Issa Michuzi ni TISS?

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,064
2,000
Hamjambo
Nimejaribu kumfuatilia huyu mpiga picha maarufu zamani akitumika katika magazeti ya serikali.

Kwa wale wa zamani mnakumbuka picha yake bora ni ile ya simba ikitokea zanzibar na kombe na Ubingwa wa vilabu vya Afrika ya Mashariki baada ya David Mwakalebela kupaisha penalti yake. Simba walikaa juu ya boti ya Azam ndio huyu jamaa akaibuka.

Akavuma sana na mkwere mpole akamchukua na kumuweka pale ikulu. Sasa huyu Michuzi ndio akawa kama mmoja wa watendaji wa TISS kaja. Kaja Rais Magufuli akapata bahati ya kubaki hapo ikulu huku wenzake akiwemo Salva na Premmy wakitolewa.

Nimemuona katika halfla mbalimbali za ikulu akiwa kama mmoja wa watendaji wa TISS tafuta ziara ya juzi ya magufuli hapo Ubungo. Je huyu ni TISS?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
3,589
2,000
Yule Fredy Maro aliyekuwa mpiga picha mkuu wa ikulu enzi za rais Kikwete yupo wapi kwa sasa? Au baada ya kuingia JPM aliwekwa pembeni kama ilivyotokea kwa wengine waliokuwa chaguo la JK?
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,544
2,000
Kwa hiyo unataka sisi tufanyeje au tumfanyeje? Kwani kuwa TISS ni ajabu? Ushamba wa Wagogo bwana!
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,810
2,000
Hamjambo
Nimejaribu kumfuatilia huyu mpiga picha maarufu zamani akitumika katika magazeti ya serikali.

Kwa wale wa zamani mnakumbuka picha yake bora ni ile ya simba ikitokea zanzibar na kombe na Ubingwa wa vilabu vya Afrika ya Mashariki baada ya David Mwakalebela kupaisha penalti yake. Simba walikaa juu ya boti ya Azam ndio huyu jamaa akaibuka.

Akavuma sana na mkwere mpole akamchukua na kumuweka pale ikulu. Sasa huyu Michuzi ndio akawa kama mmoja wa watendaji wa TISS kaja. Kaja Rais Magufuli akapata bahati ya kubaki hapo ikulu huku wenzake akiwemo Salva na Premmy wakitolewa.

Nimemuona katika halfla mbalimbali za ikulu akiwa kama mmoja wa watendaji wa TISS tafuta ziara ya juzi ya magufuli hapo Ubungo. Je huyu ni TISS?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishajua itakusaidia nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom