Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,801
- 8,786
Hamjambo
Nimejaribu kumfuatilia huyu mpiga picha maarufu zamani akitumika katika magazeti ya serikali.
Kwa wale wa zamani mnakumbuka picha yake bora ni ile ya simba ikitokea zanzibar na kombe na Ubingwa wa vilabu vya Afrika ya Mashariki baada ya David Mwakalebela kupaisha penalti yake. Simba walikaa juu ya boti ya Azam ndio huyu jamaa akaibuka.
Akavuma sana na mkwere mpole akamchukua na kumuweka pale ikulu. Sasa huyu Michuzi ndio akawa kama mmoja wa watendaji wa TISS kaja. Kaja Rais Magufuli akapata bahati ya kubaki hapo ikulu huku wenzake akiwemo Salva na Premmy wakitolewa.
Nimemuona katika halfla mbalimbali za ikulu akiwa kama mmoja wa watendaji wa TISS tafuta ziara ya juzi ya magufuli hapo Ubungo. Je huyu ni TISS?
Sent using Jamii Forums mobile app