Muhidin Issa Michuzi ni TISS?

Naomba nikupe homework. Fatilia kwa karibu. Kama huwa anavaa earpiece basi ndiye, ila kama havai sie.

Kumbuka Usalama wa Taifa wana madr, manesi, marubani, wapishi, walinzi, waandishi wa habari, wapiga picha, madereva, mpaka wazibua vyoo. Ni kama masister wa kikatoliki walivyojitosheleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michuzi alikua mpiga picha tu kimtaani, kipindi cha Mkapa ndo akaanza kuijua Ikulu,so pale yuko muda tu.kapata connection mpaka leo anaunga tu mkataba.
Kuwa TISS inawezekana lakini kazi zake itakua kutoa info tu,kazi ngumu hawezi.
 
Hamjambo
Nimejaribu kumfuatilia huyu mpiga picha maarufu zamani akitumika katika magazeti ya serikali.

Kwa wale wa zamani mnakumbuka picha yake bora ni ile ya simba ikitokea zanzibar na kombe na Ubingwa wa vilabu vya Afrika ya Mashariki baada ya David Mwakalebela kupaisha penalti yake. Simba walikaa juu ya boti ya Azam ndio huyu jamaa akaibuka.

Akavuma sana na mkwere mpole akamchukua na kumuweka pale ikulu. Sasa huyu Michuzi ndio akawa kama mmoja wa watendaji wa TISS kaja. Kaja Rais Magufuli akapata bahati ya kubaki hapo ikulu huku wenzake akiwemo Salva na Premmy wakitolewa.

Nimemuona katika halfla mbalimbali za ikulu akiwa kama mmoja wa watendaji wa TISS tafuta ziara ya juzi ya magufuli hapo Ubungo. Je huyu ni TISS?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaeza akawa ndie na pia akawa sie,

Tuanze na ndie, Michuzi pamoja na kuwa mpiga picha alipewa kuwa mkuu wa Coordination ya Y2K ule uoga kama wa Corona kwenye kompyuta. Kipindi hiko alikua anaripoti direct ikulu.

Tuje sasa sie, ukiishi sana ikulu pale na wale majamaa mda mwingi mnakua mpo idle tu mnapiga story na kupeana yaliyojiri kwe field, sasa mda huo ndo nae huwa anapewa hata namna ya ukaaji wao na code zao za kazi. Sio mda wote ukiona kashika camera ukajua anapiga. Sasa kwan mfano wamemuadisia tu mtu akiwa anaongea na mkuu haruusiwi kueka mkono mfukoni au kujigusa gusa so nae akikuona unafanya ivo anajua tu umekosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini hivyo alijaribu mara nyingi sana kutaka kunifollow kwenye account yangu yenye jina la kweli nilimtolea nje mara zote kwa kuwa nilishawahi kusikia jamaa ni nyoka kwa watu wanaomfahamu kwa karibu.
Hamjambo
Nimejaribu kumfuatilia huyu mpiga picha maarufu zamani akitumika katika magazeti ya serikali.

Kwa wale wa zamani mnakumbuka picha yake bora ni ile ya simba ikitokea zanzibar na kombe na Ubingwa wa vilabu vya Afrika ya Mashariki baada ya David Mwakalebela kupaisha penalti yake. Simba walikaa juu ya boti ya Azam ndio huyu jamaa akaibuka.

Akavuma sana na mkwere mpole akamchukua na kumuweka pale ikulu. Sasa huyu Michuzi ndio akawa kama mmoja wa watendaji wa TISS kaja. Kaja Rais Magufuli akapata bahati ya kubaki hapo ikulu huku wenzake akiwemo Salva na Premmy wakitolewa.

Nimemuona katika halfla mbalimbali za ikulu akiwa kama mmoja wa watendaji wa TISS tafuta ziara ya juzi ya magufuli hapo Ubungo. Je huyu ni TISS?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michuzi alikua mpiga picha tu kimtaani, kipindi cha Mkapa ndo akaanza kuijua Ikulu,so pale yuko muda tu.kapata connection mpaka leo anaunga tu mkataba.
Kuwa TISS inawezekana lakini kazi zake itakua kutoa info tu,kazi ngumu hawezi.
Dahh jf raha sana
 
Back
Top Bottom