mi sijui huyo ndo nani jamani?
Kuna tetesi kuwa dogo domo ndiyo kafanya mtaji,wadau thibitisheni maana wabana pua hawajambo kwa nguvu za giza?
Aaaaah! Jamani hii kitu haizoeleki!! Poleni wana Msondo Ngoma na wapenzi wote wa muziki wa dansi, kwa kweli mmepoteza jembe. R.I.P Mjomba!!Habari za hivi punde zinasema kuwa Nguli wa mziki wa bance Mzee wetu Muhidim Ngurumo amefariki dunia mchana siku hii ya leo.
Chanzo.Uhuru Fm