Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Wadau taarifa za uhakika zilizo ripotiwa na kituo cha chanel ten usiku huu,ni kwamba mwanamuziki nguli muhidin gurumo amefariki leo,inasemekana mwanamuziki huyu pia alikua kada wa ccm kuanzia tanu,ndio maana uzi huu upo jukwaa la siasa
 
hebu niambieni. Kulikua na mtu mmoja anaye endesha Tax pale kituo cha Tax uwanja wa Taifa Miaka ya 2010, 2011 etc. alikua ni YEYE?
 
Jamani hata hajaenjoy gari aliyozawadiwa na Diamond.
R.I.P
 
Msondo orijino kwishney. nadhani wamebaki Mwanyiro na Mng'ande Romario tu baaas.

Mlazwe pema makamanda. Wakongwe wamebaki Sikinde sasa.

Mwanyiro si marehemu nae au??
 
Hii habari kuna muda mchana iliwekwa hapa jamvini lakini mods wakaifuta...

Nakumbuka jana Ben Kinyaiya ambavyo aliongea sana habari za Gurumo na Msondo, alitaja wanamsondo wengine waliotangulia mbele za haki huku akimtaja Gurumo kama mkongwe pekee aliye hai...

Pole ziwafikie wote walioguswa na msiba wa bwana huyu...
 
Lala salama kamanda Gurumo..mungu akutangulie na akuandalie mapumziko ya amani..its seems so long since last time I heard that u were sick..RIP BABA
 
Ni kweli mie nimetokea hapo msibani....hapo mtaa wa muongozo nyuma ya kanisa katoliki, mtaani kwetu huu msiba mkubwa na kwakweli ni wa nchi.mzee mabela and team nimewaacha hapo.... Rip mzee gurumo
 
External Makuburi Muongozo Street..Rip Mzee wetu Gurumo
 
Back
Top Bottom