Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Kweli alikiona kifo!mkewe amesema alijaribu kutoroka Muhimbili mala tatu lakini walinzi walimkamata.
 
Maalim Gurumo ni mwili wako tu ndio umerudi kwenye asili yake, roho yako itaendelea kuwepo milele na milele! Sisi ni zaidi ya hiyo miili ambayo huwa na hasira,uugua, uzeeka, kufa nk.
 
angekuwa ni mwingi wa huruma asingemtupa shetani Duniani ambako ndipo makao yenu watoto wake vipenzi...

Think big

kamtupa duniani shetani na ndo maana akakupa mwanadamu tunu ya kuamua kufuata jema au baya sisi sio kama wanyama ambao hawajui kila kitu ila huwa tunajitoa akili na kujifanya wanyama. Hivyo Mungu wetu anabaki kuwa Mungu wa Huruma na Upendo
 
"Ninatoka na mawazo,mfukoni sina pesa,sijui nifanyeje jamani,naamka asubuhi,nakwenda zangu kazini,hata nauli sina jamani...watoto wakishaamka walilia chai eeh,mama nae asikitika wanangu nifanyeje,baba yenu ameondoka hakuacha pesa eeh!"....dah,dah,dah!tutapata wapi tena watunzi wa mashairi ya aina hii jamani!Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumleta mtunzi huyu aliyetufundisha mengi kwa muziki wake murua unaogusa sana.Sitamsahau mzee Gurumo kwa ucheshi wake na kujishusha kwake katika maisha.Pamoja na umaarufu wake hakuona shida kujichanganya na watu wa kila aina kiasi cha kujijengea marafiki wengi sana wazee kwa vijana.Ni mwalimu wa maisha aliyekuwa hata akiingia ofisini kwako hatakuacha bila kuanzisha simulizi zenye mafunzo mengi kwenye maisha.Dah!umetangulia mzee wangu dah!nitakukumbuka sana,nitakukosa sana mwalimu,rafiki,mteja na mzee wangu Gurumo.dah!dah!dah!Adios my friends!Niliwapenda sana Marijani Rajabu,Mbaraka Mwinshehe,Niko Zengekala,Hemed Maneti,Eddy Sheggy,Remmy Ongala, na Muhidin Gurumo niliyepata bahati ya kufahamiana naye.Sasa wote wametangulia mbele za haki.Dah!hii vacuum kubwa sana.Naona muziki wote uko ardhini wamebaki suruali "mlegezo" tupu.Dah!

kwa kweli mpenzi christina leo naomba unisamehe, niite uniongoze kwenye penzi letu la haki...
 
nilihadaikaa na mambo ya Dunia...
Nilihadaikaa na anasa za Dunia...
Binadamu hujifunza kutokana na Makosaaa...

CC: Asram, Bagamoyo, Barantanda, Mourinho
 
Back
Top Bottom