Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,659
Reaction score
28,840
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini na afrika mashariki Gurumo afariki dunia,.


Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki!!


R.I.P Gurumo.


attachment.php
 
Mzee wetu Muhudin Gurumo ametutoka leo saa nane mchana,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1397396678111.jpg
    uploadfromtaptalk1397396678111.jpg
    82.2 KB · Views: 19,794
Mungu ailaze roho yake pema peponi,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1397396735641.jpg
    uploadfromtaptalk1397396735641.jpg
    69.2 KB · Views: 1,280
Habari za hivi punde zinasema kuwa Nguli wa mziki wa bance Mzee wetu Muhidim Ngurumo amefariki dunia mchana siku hii ya leo.
Chanzo.Uhuru Fm
 
Amefia wapi naomba uhakika maana Kama kusingiziwa mzee watu kumeanza kitambo
 
Kwa kumuomboleza Mzee Gurumo nitakesha kwa kuzipiga nyimbo zake kuanzia Nuta jazz,Juwata,Ottu,Sikinde ,OSS ,hakuna kulala,RIP gwiji la muziki Tanzania
 
Inna LiLaah Waina iLLAihi Rajioun ..........OOh very sad ! si hivi juzi aliStaafu usanii huu !!
Mungu amlaze pema POLENI wafiwa. amin
 
Habari nilizozipata sasa hivi kupitia whatsapp ni kuwa Muhdin Ngurumo amefariki.
 
Huzuni tena hasa kwa washabiki wake,apumzike kwa amani.......
 
Back
Top Bottom