Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

he was a decent guys hope hats mapepe wetu wq leo wangwiga Gurumo as role model
 
Inalilah wainailayhi rajiun. Mwenyezimungu amuondolee adhabu ya kabri, ampe kauli thabit, amsamehe makosa yake, ameen ameen ameen
 
R.i.p Maalimu Ngurumu. .wewe ni alama ya muziki wa dansi Tz. Daima tutakukumbuka.
 
Tuzo nyingine ya taifa tume ipoteza duuuh ina uma I.I.P mzee wetu...
 
Kwa kweli tumesikitika lakini haina budi kurudi kwa muumba. Huwezi kuishi milele.
 
Back
Top Bottom