Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

inna lilah wainna ilaih rajiun...Ni mzee wa siku nyingi sana kwenye
muziki Tanzania ambae aliwahi
kuingia kwenye vichwa vya habari
mara nyingi hasa kutokana na
kuugua kwake kuliko mfanya aache
hata muziki aliokua anaufanya.
Taarifa zilizothibitishwa na hospitali
ya Taifa Muhimbili kwa
millardayo.com zimesema Mzee huyu
amefariki dunia akiwa hospitalini
hapo leo April 13 2014 saa nane
mchana baada ya kuletwa jana
asubuhi na kulazwa kwenye wodi
namba 6 ya Mwaisela kutokana na
kuzidiwa.
Tayari mwili wake umepelekwa
kwenye chumba cha kuhifadhia maiti
ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo
cha kifo na taratibu za mazishi
millardayo.com
 
Poleni wote mzee Gurumo kaondoka lini ??kwangu hii ni breaking news..R.I.P
 
Inna LiLaah Waina iLLAihi Rajioun ..........OOh very sad ! si hivi juzi aliStaafu usanii huu !!
Mungu amlaze pema POLENI wafiwa. amin
 

RIP mzee gurumo, nitakukumbuka daima
 
Last edited by a moderator:
RIP Mzee Gurumo. May Allah rest your soul in peace. Ameen.
 
Back
Top Bottom