Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,886
- 7,929
Katika kitabu hiki cha shehe MUZAFFAR AHMAD DURRANI, kuna tafsiri ya Qur an 17:81 nayo inakwenda kama ifuatavyo
Tafsiri: "Mola wangu uniingize mwingizo mwema".
Wanazuoni wa dini ya Allah hapa Muhammad alimaanisha mwingizo gani alitaka aingizwe na Allah?