HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,703
- 48,143
Ahsante Kiongozi.
Marehemu alikuwa mwepesi sana.
Mayweather kasema kweli, hakuna na haitotokea kama Muhammad Ali.
Nimependa hapo Ulingoni alipokuwa na Katoto kadogo, halafu anakaachia usoni kampige ngumi, kisha Muhammad Ali anajiangusha, na kuigiza kama kazidiwa na kujilegeza hapo Ulingoni na Katoto.
Ila inasikitisha sana hapo vitani jinsi Maiti zinavyorushwa, na kubwagwa kama Magunia ya Mchele au Mahindi vile