Muhammad Ali (1942 - 2016) aliishi wakati wangu

Muhammad Ali (1942 - 2016) aliishi wakati wangu

"Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiuun"

Remember your song

"Mohamed Mohamed Ali
Floats like a Butterfly
And stings like a Bee"

My Late father use to sing this song to crown you.
In his life time my father use to remember and talk about your fight against Henry Copper ooohhh! what a fight!

You were the Greatest in boxing world!
Excellent KING OF THE RING
 
pumzika pema mzee wetu ALLY. by the way Thanks mkuu kwa uzi mzuri kama huu na wenye uandishi wa kuvutia.
 
Hawa wa huku kwetu wao wamebadili dini na utanaduni, wameshinfwa tu kubadili rangi na makabila yao ila wanatamani sana wawe waarabu, hata lugha tu wamebadili angalia wanavyotoa pole wanatoa kiarabu. Dini ni utumwa mbaya sana.
RIP legend, principled person. Kushika dini siyo lazima uvae kanzu, baraghashia, au kufuga mzuzu kama mwarabu[/QUOTE
 
Jo Frazier is so ugly when he cries, the tears turn around and go down the back of his head.

Hayo ni maneno ya Ali kwenye pambano lake na Frazier jamaa alikuwa anawaudhi wapinzani wake halafu anawapiga. We will miss him

Pambano lilikuwa gumu sana kwa Ali.Jo Frazier alikuwa mwanaume wa shoka,walikuwa wauane lile pambano ally baadae alikiri kwamba alikuwa anahisi kufa..kama jamaa angetoka kwenye chemba yake hakika angelala mbele
 
Ali alipigwa sana na Frazier namkubali jamaa ingawa nae alikuja pigwa na Foreman.

Tutawakumbuka sana daima.
 
Ali alipigwa sana na Frazier namkubali jamaa ingawa nae alikuja pigwa na Foreman.

Tutawakumbuka sana daima.

Ni kweli maana kadri umri ulikuwa unakwenda baada ya kupata mafanikio kasi zao zilikuwa zinapungua kutokana na umri, lakini walikuwa wamoto sana hao watu maana ilikuwa zinapigwa kama dubu ambao wamekosa chakula.sijui maisha yao ya mtaani walikuwa kama wanasalimiana
 
Wakati naanza kuusoma huu uzi nilikuwa nikiomba kimoyomoyo kusiwe na neno lolote litakaloibua hisia za kidini na hatimaye namshukuru Mungu imekuwa hivyo. Hongera sana Mzee Mohamed Said kwa uzi huu usio na udini wowote.
RIP Mohamed...
 
Ni kweli maana kadri umri ulikuwa unakwenda baada ya kupata mafanikio kasi zao zilikuwa zinapungua kutokana na umri, lakini walikuwa wamoto sana hao watu maana ilikuwa zinapigwa kama dubu ambao wamekosa chakula.sijui maisha yao ya mtaani walikuwa kama wanasalimiana
Kibaya zaidi Mohamed Ali alikataa kwenda vitani na mwenzie alikuwa pro war kwa hali hiyo na washangiaji wakatofautiana lakini walipiga hela ndefu sana katika pambano hilo
 
Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.

Hata hivyo amekufa bado bwana mdogo miaka 74.

Mimi nilijua Muhammad Ali anakimbiza kwenye miaka 90 au tisini na kitu.

Nimeona kwenye habari walivyokuwa wanazungumzia Historia yake kwa ufupi, kumbe alikataa kupigana Vita vya Vietnam na walimsweka Lupango.

Huo ugonjwa, ni mtihani.

Wakionesha picha zake za mwendo hivi ameshakuwa mtu mzima, mkono wake wa kulia unatetemeka.

Na hata akijaribu kurusha konde anashindwa huku mkono wake ukiendelea kutetemeka.

Kweli sisi Binaadam hamna kitu.

Muhammad Ali na nguvu zake zote zile, uwezo wake, wepesi wake, lakini anashindwa kabisa kurusha konde
Kuna siku hata wewe utashindwa kunyanyua simu yako ya kiganjani.
 
Huyu jamaa namkubali sana, nakumbuka kusoma kitabu chake kwenye miaka ya late eightees wakati nikiwa teenager.
 
Wadau nimemfwatilia saaana huyu mtu nahisi kuna Mengi ya kujigunza kuhusu yeye si tu bondia ila nahisi kama alikua Mshairi na Mwenye misemo Mingi .....

HII IMENICHEKESHA

KAMA UNAOTA UMENIPIGA AMKA UOMBE MSAMAHA

ANY WAY ZIPO TETESI ALIWAHI FIKA TZ ILA NYERERE AKATOSA KUONANA NAE
 
Alitumwa na Carter kuja kuishawishi Tanzania na nchi nyingine alizozuru kuisusia michezo ya Olimpiki Moscow. Alijilaumu kwa nini alikubali kufanya kazi hiyo baada ya kukutaa na super diplomat Julius Nyerere.
Mkuu kuna kumbukumbu yoyote inayothibitisha hilo la Ali kujilaumu kufanya kazi hiyo? Kwani akiwa Tanzania alifanikiwa kukutana na Nyerere? Walikutana Ikulu au wapi?
 
Mkuu kuna kumbukumbu yoyote inayothibitisha hilo la Ali kujilaumu kufanya kazi hiyo? Kwani akiwa Tanzania alifanikiwa kukutana na Nyerere? Walikutana Ikulu au wapi?

Nyerere alikataa kuonana naye.
Gaazeti la the citizens waliandika Jumapili.
When Nyerere refused to meet Ali.
 
Back
Top Bottom