Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,887
- 7,033
Pambano lake la kihistoria na George Foreman lilifanyika jijini Kinshasa nchini Zaire (Kwa sasa DRC) mwaka 1974. Mobutu aliyekuwa rais wa Zaire kipindi hicho alifanya kila lililowezekana ili pambano hilo maarufu lifanyike nchini mwake.