Nilijua tu hili zee litatangaza kesho sio Eid.Wana Jamvi kwa Mujibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ni Kwamba Mwezi haujaandama kama haujaandama maana yake leo ni Ramadhani 29 hivyo kesho zinakamilika Ramadhani 30 na Jumamosi itakua Shawal 1, 1447.
As it stands Leo Ramadhani inaendelea na Ibada ya Taraweh itakuepo kama kawaida
----
Mufti wa Tanzania Sheikh Dr. Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana ametangaza mwezi haujaandama leo Tarehe 19 Machi 2026 sawa na Ramadhani ya 29. Hivyo kesho tarehe 20 Machi tunakamilisha Ramadhani 30, Eid el Fitri 21 Machi.
Kumbe ndio michezo yao!I.knew this earlier, hii sikukuu ni ya mufti. Akishakaa na wahindi akahongwa baasi. Kesho.kazini no overtime ah ah aha ha ah a a
Hili zee sengerema sana.I.knew this earlier, hii sikukuu ni ya mufti. Akishakaa na wahindi akahongwa baasi. Kesho.kazini no overtime ah ah aha ha ah a a
Serikali ndio imeleta hasara,waislamu waliomba wanunuliwe datubini ya kutafuta mwezi hawajanunuliwa.
mi sio kobazi, sijapenda tusi hiliNilijua tu hili kundu kunuka litatangaza kesho sio Eid.
ALAFU KAKA MTU ANATUKANA ILI HALI MWEZI UKIANDAMA INAOMEKANA HAUNA HAJA YA KIFAA CHOCHOTE UNAUONA KWA MACHO SIJUI KOSA LA MUFTI NI LIPI MBONA MAMBO YANAKUA WAZI.mi sio kobazi, sijapenda tusi hili
Leo mkuu CCM kwako hovyo kisa tu msukuma mwenzako hayupo tena?Kuendeshwa na CCM hovyo sana. Hilo li kachero la CCM lipo kulinda maslahi ya serikali
Wale wabishi 😄Kesho wale wavaaa suruali fupi sijui ni kaptura ndefu wanafungua.
Hawa ndio wapo sawa. Hawa wengine ni Waislam wa bakwata almaarufu waislam wa ccm. Kazi wanayo.
Wana Jamvi kwa Mujibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ni Kwamba Mwezi haujaandama kama haujaandama maana yake leo ni Ramadhani 29 hivyo kesho zinakamilika Ramadhani 30 na Jumamosi itakua Shawal 1, 1447.
As it stands Leo Ramadhani inaendelea na Ibada ya Taraweh itakuepo kama kawaida
View attachment 3560157
Mashirikina tu hayo hayana lolote...makuma...kama.kuna wamba wamesoma geography na waakafaulu vizuri niwape coordinates za mwezi saivi tena unaonekana kwa 47% kwa nchi ya Tanzania ...hivi vitu virahisi kwa utaalamu tu wa kuangalia kitaalam na kutafuta maarifa ..Sasa wao Wana mambo yao ya kishirikina na siasa hao nilijua tu hawawez sema kesho..🚮🚮🚮🚮🚮Kuendeshwa na CCM hovyo sana. Hilo li kachero la CCM lipo kulinda maslahi ya serikali
mjuba unavuka mipaka sasa, unatuudhi hata tusiokuwa kobazi kwa matusi yako. Kobazi gani una lugha ngumu hivi?Nilijua tu Hawa makuma ndio tabia yao...hio taasisi ni corrupted na siasa na zaidi ushirikina tu kumanyoko. Nilijua tu.