Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,074
- 14,718
Wana Jamvi kwa Mujibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ni Kwamba Mwezi haujaandama kama haujaandama maana yake leo ni Ramadhani 29 hivyo kesho zinakamilika Ramadhani 30 na Jumamosi itakua Shawal 1, 1447.
As it stands Leo Ramadhani inaendelea na Ibada ya Taraweh itakuepo kama kawaida
As it stands Leo Ramadhani inaendelea na Ibada ya Taraweh itakuepo kama kawaida