Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,260
- 8,346
Nachukia wanafanya dini kama siasa na ushirikina. Mammbwa tu.mjuba unavuka mipaka sasa, unatuudhi hata tusiokuwa kobazi kwa matusi yako. Kobazi gani una lugha ngumu hivi?
Nachukia wanafanya dini kama siasa na ushirikina. Mammbwa tu.mjuba unavuka mipaka sasa, unatuudhi hata tusiokuwa kobazi kwa matusi yako. Kobazi gani una lugha ngumu hivi?
Muft mav mavWana Jamvi kwa Mujibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ni Kwamba Mwezi haujaandama kama haujaandama maana yake leo ni Ramadhani 29 hivyo kesho zinakamilika Ramadhani 30 na Jumamosi itakua Shawal 1, 1447.
As it stands Leo Ramadhani inaendelea na Ibada ya Taraweh itakuepo kama kawaida
View attachment 3560157
Nilijua tu Hawa makuma ndio tabia yao...hio taasisi ni corrupted na siasa na zaidi ushirikina tu kumanyoko. Nilijua tu.
KIFUNGA SIO LAZIMA UKIONA VIPI SI UNAFUNGUA ILA KUTOA LUGHA ISIO FAA NI MAKOSA, NA HAIPENDEZI MANA YE ANA FATA MAFUNDISHO YANAVO SEMA NA SI MIHEMKO, UMEFUNGA SIKI ZOTE HIZO, SIKU MOJA TU NDO IKUSHINDE
Kwanini wasinunue wao wenyewe!? Serikali inahusika vipi na mambo ya kidini wakati Haina dini , serikali inapo saidia taasisi ya kidini ni ihsani tu na sio Wajibu ,Serikali ndio wapumbavu sana,waislamu waliomba wanunuliwe datubini ya kutafuta mwezi hawajanunuliwa.
Pengine kesho ingekuwa sikukuu
😄😄 Ccm ndio wenye hiyo taasisi Hawa wezi kukubali Hilo swala labda uwanyongeBAKWATA wametangaza kuwa swala ya Eid ni jumamosi
Kwaiyo watumishi wa serikali kesho kazini kama kawaida
BAKWATA ni taasisi ya maelekezo
BAKWATA inahitaji katiba mpya
View attachment 3560162
🤣🤣Nilijua tu Hawa makuma ndio tabia yao...hio taasisi ni corrupted na siasa na zaidi ushirikina tu kumanyoko. Nilijua tu.
Do you think hawajui !?Hawa waislam wa BAKWATA wawe wanaomba muongozo wa kuandamana mwezi kwa KKKT. Walutheri wana kakitabu kadogo kanakoonesha hatua zote za mwezi kuanzia mwezi mchanga mpaka mwezi mpevu, ni kakitabu cha mwaka mzima kako kama kalenda,
mjuba unavuka mipaka sasa, unatuudhi hata tusiokuwa kobazi kwa matusi yako. Kobazi gani una lugha ngumu hivi?
😁😁😁Muft mav mav
🤣🤣🤣 My fucking ribsNdugu zangu kobaz fanyeni sufuria ya ubwabwa iwe kubwa basi tofauti zetu tuziweke kando kidogo 😎😎😎
Kmmk 🤣🤣🙌Hapa ndio Michina huwa naikubali huwa inarusha mwezi feki tuu.Hakuna kupotezeana muda.
Dah, suruali fupi au kaptula ndefuKesho wale wavaaa suruali fupi sijui ni kaptura ndefu wanafungua.
Hawa ndio wapo sawa. Hawa wengine ni Waislam wa bakwata almaarufu waislam wa ccm. Kazi wanayo.
serikali ijenge vyoo,ijenge madaraja,ijenge miundombinu na inunue pia datubini? My take serikali haina dini.Serikali ndio wapumbavu sana,waislamu waliomba wanunuliwe datubini ya kutafuta mwezi hawajanunuliwa.
Pengine kesho ingekuwa sikukuu
Gharama kubwaKwanini wasinunue wao wenyewe!? Serikali inahusika vipi na mambo ya kidini wakati Haina dini , serikali inapo saidia taasisi ya kidini ni ihsani tu na sio Wajibu ,
Walipaswa kununua wao wenyewe na pia Hawa wezi kukubali kununua kwasababu wao ndio wanao panga iddy mshereheke lini
Huyo mufti ni puppet wa ccm bakwata ni taasisi iliyopo chini ya serikali kwaajili ya kuwa monitor waislam wenye misimamo milali otherwise kutokana na wingi wa waislam nchini kama taasisi hiyo isingekuwa chini ya serikali na ukizingatia waislam ni jamii ya watu wenye itikadi Kali basi hii Nchi mpaka Leo hii isingekuwa na amani
So uwepo wa bakwata nchini umeleta nafuu kubwa Sana na kuiponya Nchi dhidi ya machafuko ya wenyewe Kwa wenyewe as raia Katka Taifa letu
Ijapo kuwa Mimi binafsi siwapendi