MUFTI, MASHEHE WATIMULIWA IKULU (wapekuliwa kisha wafukuzwa, yumo shehe Yahya.

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
59
Story na Uwazi,

Mwandishi Elvan Stambuli.

 
Sasa walitaka wasipekuliwe..Kungelipuka kibomu hata kama sio chao si wangeambiwa ni wao wamepekuliwa kwa usalama wao wenyewe...wao wanalaumu nini sasa//.?
 
Sasa walitaka wasipekuliwe..Kungelipuka kibomu hata kama sio chao si wangeambiwa ni wao wamepekuliwa kwa usalama wao wenyewe...wao wanalaumu nini sasa//.?

Wanacholaumu ni wao kutoruhusiwa kuingia ndani kwenda kupata mnuso
 
Tatizo Watanzania tunapenda kukaribisha wakati hatujamaanisha kweli. Pengine Kikwete naye alitamka kwa kawaida ya Kitanzania "Karibuni jamani!!!" wenzanke wakachukulia serious. Mimi nadhani mwaliko wa tafrija maalum kama hiyo ya Ikulu kulipaswa kuwa na kadi au barua maalum. Sasa je, ilitolewa? na wao walikuwa nayo?
 
Si Mnajua tena mnuso tena wa Ikulu mahanjumati yanakuwa mengi hivyo hata kama Mh. Rais alisema kiutani watu wakamaind ulaji.
 
wamezowea mialiko ya ikulu kila eid!

safari hii JK anamengi kichwani, kawasahau kuwapa mualiko rasmi, inaonyesha akawapa mualiko wa mdomo alipokutana nao msikitini!

watendaji wa ikulu hawajui protocol zinavyoenda, walikuwa wapeleke kadi za mualiko kabla rais hajababaika akatoa mualiko kwa mdomo.
 
Hii si haki kabisa, siku hizi ukipendelea kuvaa kanzu na balagashia, mbele ya walinzi wa usalama unakuwa unatiliwa shaka,na upekuzi unakuwa ni wa kina
 
Si Mnajua tena mnuso tena wa Ikulu mahanjumati yanakuwa mengi hivyo hata kama Mh. Rais alisema kiutani watu wakamaind ulaji.
Mkuu, Msikitini sio sehemu ya utani kama anataka kutania akatanie huko huko Ikulu.
 
Hii habari ni ya 2007 vp jamani Masheikh
waliombwa radhi na KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…