Nitauza ng'ombe nikusindikize mpaka mwisho wa kesi, but usisahau kuniambia hiyo siku, usisahau meremeta, chavda, kiwira, twiga uwanja wa ndege, na yule mjusi wetu aliyepo ujerumani..!!
fanya utafiti kwanza kijana kuwa
1.aina ya mashitaka unayofungua
2.washitakiwa ni nani na nani
3.walalamikaji ni wewe na nani
4.unafungua kesi mahakama gani
Ununuzi wa ndege ya rais,ununuzi wa rada,mikataba ya madini,Net group solution,uuzwaji nyumba za serikali,uuzwaji wa NBC,Ujangili,mishahara hewa,ukwepaji kodi na ushuru wa serikali,Ubia wa TTCL na Celtel,Mchuchuma,TanGold,Meremeta,Kiwira na ufujaji wa pesa za serikali kupitia utitiri wa semina,kongamano na ununuzi wa mashangingi.
Dr.Slaa ..kwa kihindi wanasema "kushney" yaani kwisha khabar zake.Niombe CHADEMA wamuengezee ulinzi kama heshima yake kwa chama.kuna mazuri ameyafanya.
yaani wewe una uchungu wa nchi yako kuliko Rais Kiwete? kwa nini kikwete ashindwe kumshitaki? nakuomba uwasiliane na Kikwete kwanza akupe sababu za kushindwa kumshitaki Lowasa au kumchukulia hatua za kinidhamu maana yeye ndie alikuwa bosi wake
Sio kumshitaki yani uyo nikufungwa maisha milele ndo mwizi wamali za tanzania eti ndo cdm wanamuona anafaa kushika dora mnafikiri dora ni ya ukabila atumtaki lowasaaaa afaiiiiiii ataweka tanzania reani atukubali, maguful karibu ikulu kwa moyo safi make kikwete kasha safisha eneo ccm oyeeeeee maguful√√√√√√√√√√√√
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.