james katto
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 385
- 128
Tutampigia kura hata akiwa magereza,haturudi utumwani Misri!
siku hizi nakukubali sana MkuuMtatangatanga sana mwaka huu;
Nani aliyekuambia hapa ndo mahakamani;
Si uende.
Mbona mna pwaya hivi kwenye hoja????
Yeye amesema amekamilisha kuhusu richmond, wewe unamuambia apeleke na escrow etc.
Nawe fanya uchunguzi wako juu ya tuhumu hizo na ukikamilika nenda mahakamani....!
Tujaribu kuelewa kile mtu anachosema au kuandika.
Kama unataka awapeleke na hao wengine, badala ya kumsaidia pesa msaidie ushahidi!!!
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.
Safi sana mwambie huyo aache kukurupuka na hoja mufilisi.Mbona mna pwaya hivi kwenye hoja????
Yeye amesema amekamilisha kuhusu richmond, wewe unamuambia apeleke na escrow etc.
Nawe fanya uchunguzi wako juu ya tuhumu hizo na ukikamilika nenda mahakamani....!
Tujaribu kuelewa kile mtu anachosema au kuandika.
Kama unataka awapeleke na hao wengine, badala ya kumsaidia pesa msaidie ushahidi!!!
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.
nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa lowassa kwenye issue yarichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki lowassa.