Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.
Criminal case?,,,,,,,,,,,,Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.
case ya jinai haina time limit sema si kila mtu ana mamlaka ya kupeleka case ya jinai mahakamani........Kesi ya jinai mwisho wa kushitaki miaka sita tokea tukio litokee na madai mwisho miaka mitatu tokea tukio litokee.Teh teh teh teh mahakamani hapachezewi hata kidogo chezeni na kuropoka majukwani ila mahakama pale ni ulimwengu wa fikra pevu zisizo muogopa wala kushinikizwa na mtu.Mlikuwa wapi miaka yote 8?
mahakamani ndio kazini kwangu.
case ya jinai haina time limit sema si kila mtu ana mamlaka ya kupeleka case ya jinai mahakamani........
Wewe ndiyo walewale tu mbona hamkumfunga mapema?mlingojea hasara iongezeke au agombee Urais kwanza?Una mahaba gani na Nchi hii wewe kama siyo unafiki unakusumbua?Kamshtaki a Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa kututangazia atanunua radar na ndege ya Rais wakati wake na alinunua makapi.
Ni sheria ipi inamnyima mtu yupi kupeleka jinai ipi mahakamani?
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.
Habari njema kwa CHADEMA asilia