Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

Nenda tu bwana, maana najua utaishia njiani....
 
labda nikuulize maswali yafuatayo
1.je wajua ufisadi ni kesi ya jinai?
2.je wajua nani mwenye mamlaka ya kufungua kesi za jinai?
3.utakua na 'locus standi' gani ktk hii kesi?
 
Mtu kukaa bila kazi afu simu ina vi MB 8 ndio matatizo kama haya yana tokea ifike mahali kama kijana uwe una waza vitu venye kukujenga au kusaidia wengine
 
haa haa mpeleke bwana. maana alishasema mweye ushahidi aupeleke mahakamani...
 
sasa unatuambia humu ili iweje? mahakama zipo wazi
 
Binafsi yangu nimegundua kwamba humu JF ili uzi wako uweze kusomwa na kujibiwa na watu wengi inabidi uandike jina la Rais anayesuburi kuapishwa pale uwanja wa taifa yaani Lowassa,nimeona wengi wametumia fursa hii kipindi hiki ili nyuzi zao ziweze kusomwa,kujibiwa na kupendwa na wengi
 
Mbona watanzania tutakupenda ukifanya hivyo! Utakuwa shujaa wetu. Ila inabidi uunganishe zote, ESCROW, EPA, IPTL na nyinginezo la sivyo hatutakuelewa, tutajua una ajenda nyingine. Na ukifika mahakamani utulie usianze kutafuta dirisha la kutokea

anapeleka moja baada ya nyingine ameamua kuanza na EPA MBONA UNATAKA KUMPANGIA SASA KAMA UNAJUA SIUNGEPELEKA WEW BORA UKAE kimya usimpangie
 
Peleka huko Rais wako ni Lowasa

Ndo ujue wako wazalendo usimshitaki kwa vile ana uwezo wa kupata urais kama kweli we mzalendo mshitaki kwa kuhujumu uchumi na ungeanza kabla maana umechelewa pengine akaingia madarakani kabla hujampata wa kukusikiliza mashitaka yako kingine kuwa makini na ww ucje ukawa mhujumu wa uzalendo maana sasa Edo ni wetu
 
Hivi ni kwanin nilichelewa kucoment ila nawapa big up wadau wangu kwa kumpa vidonge vyake huyo anayejifanya anajua kesi, Ataongozwa tu na LOWASA asubir Oct 25
 
Na by any means, thamani ya damu ya watanzania wenzetu hao wawili waliokufa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Morogoro ina thamani mara trillions kuliko Magufuli kuwa Rais wa nchi hii!!

Kwa nchi zinazojali utu na thamani ya uhai wa mtu, Magufuli angesha step out of the context kwa sbb kwa vyovyote, hii ni ishara ya nuksi kwake na kuwa tutakuwa na Rais wa hovyo tu huko mbeleni kama huyu jamaa atachaguliwa, Mungu apishie mbali isitokee!!
 
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.

Sasa hapa ni mahakamani? Kama una ushahidi unaojitosheleza mahakama huzijui, acha porojo katika mitandao kusanya ushahidi ulionao nenda mahakamani ni haki yako kikatiba. Usitafute umaarufu katika mtandao, utakuwa maarufu zaidi ukienda mahakamani na ushahidi unaojitosheleza.
 
Back
Top Bottom