Safi sana kijana, siku ikifika unistue nikusaidie hela ya mchango kwa gharama za mawakili kwa kesi zifuatazo kama utafungua mashitaka, EPA, ESCROW, Deep Green, mabehewa mabovu, uuzaji wa nyumba za serikali kiholela na mengineyo.
Ukumbuke na namba za mpesa, tigopesa etc.