Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.

NA MIMI KAMA MWASHERIA na MTANZANIA MWENYE MAHABA NA NCHI YANGU NITAJITOA KISIMAMIA KESI HII MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU ILI KUHAKIKISHA TU LOWASSA ASHINDE KESI NA UBAKI USHAHIDI WAKO..
Tukutane mahakamani
Copy that..
 
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.

Sasa humu ndio Mahakamani?
 
Uhamiaji wachunguzeni na Kigoma All Stars kama sio wamoja na Zitto Kabwe. .ndio maana wanaipigia debe ccm na ACT. ..
 
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.

Mbona umechelewa?
 
Kesi ya jinai mwisho wa kushitaki miaka sita tokea tukio litokee na madai mwisho miaka mitatu tokea tukio litokee.Teh teh teh teh mahakamani hapachezewi hata kidogo chezeni na kuropoka majukwani ila mahakama pale ni ulimwengu wa fikra pevu zisizo muogopa wala kushinikizwa na mtu.Mlikuwa wapi miaka yote 8?

Mkuu huyo anatimiza idadi ya post akavute 7000/-yake
 
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.

Richmond -> Dowans -> Symbion. Ccm mtueleze kwa ufasaha kama ifuatavyo
1.Richmond ilikuwa ya Nani??.
2.Dowans ilikuwa ya Nani??.
3.Symbion ni ya Nani??.
4.Kwa nini mitambo ni ileile kwa kampuni zote tatu haijabadilika???.
 
Uhamiaji wachunguzeni na Kigoma All Stars kama sio wamoja na Zitto Kabwe. .ndio maana wanaipigia debe ccm na ACT. ..
wataishia kuchunguza tu ila tunasonga mbele na ACT na mwaka huu ni Magufuli uraisi lakini mkowani hatuwapi chadema wala ccm bali ni ACT kigoma nzima.
 
Nimeupata ushahidi wote kuhusu uhusika wa Lowassa kwenye issue yaRichmond,yeye mwenyewe alisema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani,kwa hiyo mimi kama mtanzania mwenye mahaba na nchi yangu nimejitoa kimasomaso kumshitaki Lowassa.

Ndoto njema kama za Dr Kassavs
 
Back
Top Bottom