Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
mahakamani ndio kazini kwangu.
Huna lolote mtu wa mahakamani hata hujui kesi ya aina hiyo inafunguliwa kwa utaratibu gani. Kama kweli unafanya mahakamani utakuwa kilaza wa hali ya juu.
mahakamani ndio kazini kwangu.
Peleka huko Rais wako ni Lowasa
Mbona watanzania tutakupenda ukifanya hivyo! Utakuwa shujaa wetu. Ila inabidi uunganishe zote, ESCROW, EPA, IPTL na nyinginezo la sivyo hatutakuelewa, tutajua una ajenda nyingine. Na ukifika mahakamani utulie usianze kutafuta dirisha la kutokea