Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Sijawahi ingia casino aisee na nina best friend wangu huwa anafanya kazi casino
Njoo nkupe mtaji ujaribu bahati yako
Sijawahi ingia casino aisee na nina best friend wangu huwa anafanya kazi casino
[emoji7][emoji8]My pleasure........
Sijawahi kucheza mie nitapoteza hela yako bure bora unipe tu hiyo hela niikuleNjoo nkupe mtaji ujaribu bahati yako
Sijawahi kucheza mie nitapoteza hela yako bure bora unipe tu hiyo hela niikule
Et dada Shunie atashiba kweli apo au maji lazima yahusike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Nokia jaman kamari sijawahi cheza nahisi hiyo hela ukinipa nitaipoteza bure tuu kuliko ipotee bure kwenye kamari si bora niikule tu nikafanye zangu shoppingUnataka kula mtaji?!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko mbona mbali me mwenyewe sishibi hiko chakula na me mwanamkeEt dada Shunie atashiba kweli apo au maji lazima yahusike
Sasa Nokia jaman kamari sijawahi cheza nahisi hiyo hela ukinipa nitaipoteza bure tuu kuliko ipotee bure kwenye kamari si Nora niikule tu nikafanye zangu shopping
Ebu nipe bana usighailiWanawake na shopping...[emoji1549][emoji1549]
Bora ungekuwa ugaliHuko mbona mbali me mwenyewe sishibi hiko chakula na me mwanamke
Actor ndo muhanga [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu kwenye avatar huyo 'mhanga' ni Director au Actor?
Ebu nipe bana usighaili
Nakula kitu cha ugali kwa sangaraNjo ukule
Vip au na wewe unayo
[emoji1] [emoji1] umetisha. Ngisi haoHivyo vya duara kama kondom ni nini?
NakujaNjoo uchukue
Unakula peke akee au na ninii